wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 804
It doesnt matter, hata kama yeye sio mtumzi, lakini imagine watu asilimia kubwa duniani wanamuona yeye ndo hero in black face. So now yeye ndo angekua na power na sio mtunzi. Afu pia hawataki any black person awe na kitu kinaitwa super ndo maana wamemudankisha afu wamesingizia kansa ili dunia ione mtu mweusi mdhaifu tu kumbe anaweza kufa kwa kansa. .Huyo dogo alichallenge white system? Huwezi ukasema ile movie kachallenge white system ile movie siyo yake yeye muigizaji ile movie imetengenezwa na marvels studios hivyo yeye si mhusika wa story wala chochote, bali ni kufuata script aliyocheza. Sasa muandishi wa story na mtengeneza movie ndiye kama ilitakiwa auawe angeuawa yeye maana bila yeye hakuna black panther.
Mkuu kuna vitu undercover vya hatari. And they make sense