Uchunguzi wa maiti ya BOSEMAN CHADWICK

SumadaVinci

Senior Member
Dec 27, 2018
161
500
Screenshot_20200901-063736.png
hivi ni kweli hii dunia imekwenda hivi??
Screenshot_20200901-063757.png
 
GENIUS JAGUAR MONSTER

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
228
250
Hii habari haiko kokote isipokuwa kwa watu wa maconspiracy, youtube channels uchwara na vi blog uchwara. Hutoikuta kwenye chombo chochote kikubwa cha habari.
Huko cnn na bbc ndo wana kubrain wash. Habari zote za kweli zinatoka kwenye vyanzo uchwara. Ungekua huupendi ukweli usingekuja jamii forum. Kwa sababu huku ndo kuna ukweli wote.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
4,680
2,000

Jamiiforums ni forum na ndiyo maana habari nyingi wanaozileta wanaweza reliable source. Hii habari yako utaikuta kwenye blogs na youtube channels zinazotafuta viewers. Hata TMZ wazee wa umbea hawajaweka hii habari.
 
GENIUS JAGUAR MONSTER

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
228
250
Jamiiforums ni forum na ndiyo maana habari nyingi wanaozileta wanaweza reliable source. Hii habari yako utaikuta kwenye blogs na youtube channels zinazotafuta viewers. Hata TMZ wazee wa umbea hawajaweka hii habari.
Mkuu ukweli utakuja kuujua siku zimeenda sana.

Kama unaamini ukoloni ulitokea afrika, na mababu zetu walichapwa viboko hadharani. Huwezi kushindwa kuamini kwamba ukoloni mamboleo unafanya kitu kilekile lakini kwa sura nyingine.

Ila kama una ignore mambo ya hatari yanayoendelea duniani, utabaki on the dark side always.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
4,680
2,000
Mkuu ukweli utakuja kuujua siku zimeenda sana.

Kama unaamini ukoloni ulitokea afrika, na mababu zetu walichapwa viboko hadharani. Huwezi kushindwa kuamini kwamba ukoloni mamboleo unafanya kitu kilekile lakini kwa sura nyingine.

Ila kama una ignore mambo ya hatari yanayoendelea duniani, utabaki on the dark side always.
Ingelikuwa kweli kama ambavyo mastar weusi walivyokuwa mstari wa mbele kuonyesha kuumia kwao juu ya kifo chake na kupost huko kwenye masocial networks, kwa style hiyo hiyo ungeona hii habari wameikomalia.

The internet is full of information, soya kila information ni ya kweli hasa hiki kipindi watu wanatafuta viewers wale pesa. Mpaka hii habari umeiona wewe, basi nina imani mastar weusi wa Marekani wangeipata kabla yako na wangeshaonyesha kutahamaki ingekuwa ndiyo trending news kwa sasa.
 
GENIUS JAGUAR MONSTER

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
228
250
Ingelikuwa kweli kama ambavyo mastar weusi walivyokuwa mstari wa mbele kuonyesha kuumia kwao juu ya kifo chake na kupost huko kwenye masocial networks, kwa style hiyo hiyo ungeona hii habari wameikomalia.
The internet is full of information, soya kila information ni ya kweli hasa hiki kipindi watu wanatafuta viewers wale pesa. Mpaka hii habari umeiona wewe, basi nina imani mastar weusi wa Marekani wangeipata kabla yako na wangeshaonyesha kutahamaki ingekuwa ndiyo trending news kwa sasa.
Jamani tusibishane sana, tuongee facts. Afu utanipinga kama naongea uongo. Maana inaonesha unatetea sana racism.

1. Ukoloni wa mtu mweusi ulikuepo
2. Watu weusi waliteswa na kulimishwa kwa faida ya wazungu
3. Ubaguzi wa rangi upo
4. Ukoloni mambo leo upo
5. Agenda ya billigate na european nations kupunguza population ya watu weusi ipo
6. Mayweather is the most hated boxer in america kwa sababu ni undefeated
7. Ma black super hero wote wanachukiwa ulaya na wako kwenye hatari ya kupotezwa.

Nafikiri umepata mwanga
 
HHapa tunaongelea habari uliyoleta sasa sijui hayo mengine umeyatoa wapi. Kwahiyo mkuu katika mastar wakubwa huko states ambao alipofariki walihuzunika na kupost leo hii unahisi wamepuuzia hii habari? Mtandao wa umbea kama TMZ ambao jana tu wamereport kuhusu tribute ya msiba wake leo hii hawapost hii habari?

Hayo uliyoandika hayafuti ukweli kwamba kuna habari nyingi za uongo mtandaoni na kuzishabikia hakufanyi mtu uwe bora. Ni sawa na wale wanaodai raisi wa kwanza mweusi wa US ni John Hansen huku wengine wakisema George Wasington alikuwa black ili mradi tu kujaribu kuonyesha black superioricity.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
4,680
2,000
Kwa sababu ni mtu mweusi. Na watu weusi hawapendwi. So na kama hawapendwi basi mimi na ww hatutakiwi kua na ndoto za kua "the great". Ukiwa na mafanikio makubwa ambayo yatakupa power ya watu kukusikiliza ndo hapo wanakuja na kukuua. Faaaaaaaact.....!
Alikuwa na mafanikio kuliko will smith?
Alikuwa na mafanikio kuliko Denzel Wasington?
Alikuwa na mafanikio kuliko Laurence Fisherburne?
Alikuwa na mafanikio kuliko Wesley Snipes?
Waliotengeneza hiyo movie ni Marvel Studios ambayo ilinunuliwa na Disney ambao wamiliki ni weupe, sasa kwanini waliamua kumpa ustar kwa kutengeneza movie kama hiyo?
 
GENIUS JAGUAR MONSTER

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
228
250
HHapa tunaongelea habari uliyoleta sasa sijui hayo mengine umeyatoa wapi. Kwahiyo mkuu katika mastar wakubwa huko states ambao alipofariki walihuzunika na kupost leo hii unahisi wamepuuzia hii habari? Mtandao wa umbea kama TMZ ambao jana tu wamereport kuhusu tribute ya msiba wake leo hii hawapost hii habari?
Hayo uliyoandika hayafuti ukweli kwamba kuna habari nyingi za uongo mtandaoni na kuzishabikia hakufanyi mtu uwe bora. Ni sawa na wale wanaodai raisi wa kwanza mweusi wa US ni John Hansen huku wengine wakisema George Wasington alikuwa black ili mradi tu kujaribu kuonyesha black superioricity.
Mi sijaleta habari mkuu, mi nae ni mchangiaji, anyway sisi wote ni waafrika. Tu focus kwenye mada. Tukitaka kuoneshana nani ana degree nzuri ya uvishi au uandishi hatufiki popote. Relax and absorb truth from your african brother. Together we build our nation.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
4,680
2,000
Mi sijaleta habari mkuu, mi nae ni mchangiaji, anyway sisi wote ni waafrika. Tu focus kwenye mada. Tukitaka kuoneshana nani ana degree nzuri ya uvishi au uandishi hatufiki popote. Relax and absorb truth from your african brother. Together we build our nation.
Mimi nimepinga habari kuwa si ya kweli na ndiyo maana utaikuta kwenye youtube channels uchwara na viblogs uchwara vinavyotafuta viewers. Ingekuwa kweli basi ingekuwa trending news kwenye social media za mastar weusi na mitandao kama TMZ. Hayo mengine yamekuja baada ya kuyaleta wewe.
 
GENIUS JAGUAR MONSTER

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
228
250
Alikuwa na mafanikio kuliko will smith?
Alikuwa na mafanikio kuliko Denzel Wasington?
Alikuwa na mafanikio kuliko Laurence Fisherburne?
Alikuwa na mafanikio kuliko Wesley Snipes?
Waliotengeneza hiyo movie ni Marvel Studios ambayo ilinunuliwa na Disney ambao wamiliki ni weupe, sasa kwanini waliamua kumpa ustar kwa kutengeneza movie kama hiyo?
Safi mkuu, umekuja on point my african brother.

Sikiliza nikwambie kitu. Ukiwa na mafanikio makubwa sio tatizo kwa mzungu. Tatizo ni impact ya mafanikio yako kwao.

Ok. Lil wayne na jay z na will smith wana mafanikio makubwa. Lakini ulishawahi kusikia wanachalenge white system.
Hawa wote hawachallenge sytem ya mzungu na wanadharau watu weusi wenzao ambao ni advantage kwa mzungu. Yani ww ukinidharau na kunieudisha nyuma mm kwa sababu natetea mtu mweusi basi ni faida kwa mzungu coz unakua umemrahisishia kazi. Ila uki act kama black superhero na idea yako ika prosper. Wanakua na wasiwasi.

Sikiliza: ambacho hataki mzungu, ni black kua superior na white kua inferior. Huoni picha mkuu
 
Huyo dogo alichallenge white system? Huwezi ukasema ile movie kachallenge white system ile movie siyo yake yeye muigizaji ile movie imetengenezwa na marvels studios hivyo yeye si mhusika wa story wala chochote, bali ni kufuata script aliyocheza. Sasa muandishi wa story na mtengeneza movie ndiye kama ilitakiwa auawe angeuawa yeye maana bila yeye hakuna black panther.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
4,680
2,000
Kuna vitu CNN wala BBC hawawezi andika hata kama ni kweli namna gani.
Reliable sources za entertainment si BBC wala CNN na nimeuliza vipi mastaa wenzake weusi mbona hawajaandika hii habari? Yani mpaka imfikie mbongo wao wasiandike tena na hili vugu vugu la black lives matters? hii habari narudia tena iko youtube channels na blogs zinazosaka viewers tu.
 
koncho77

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
7,129
2,000
Reliable sources za entertainment si BBC wala CNN na nimeuliza vipi mastaa wenzake weusi mbona hawajaandika hii habari? Yani mpaka imfikie mbongo wao wasiandike tena na hili vugu vugu la black lives matters? hii habari narudia tena iko youtube channels na blogs zinazosaka viewers tu.
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom