Uchunguzi wa maiti ya BOSEMAN CHADWICK

Huyo dogo alichallenge white system? Huwezi ukasema ile movie kachallenge white system ile movie siyo yake yeye muigizaji ile movie imetengenezwa na marvels studios hivyo yeye si mhusika wa story wala chochote, bali ni kufuata script aliyocheza. Sasa muandishi wa story na mtengeneza movie ndiye kama ilitakiwa auawe angeuawa yeye maana bila yeye hakuna black panther.
It doesnt matter, hata kama yeye sio mtumzi, lakini imagine watu asilimia kubwa duniani wanamuona yeye ndo hero in black face. So now yeye ndo angekua na power na sio mtunzi. Afu pia hawataki any black person awe na kitu kinaitwa super ndo maana wamemudankisha afu wamesingizia kansa ili dunia ione mtu mweusi mdhaifu tu kumbe anaweza kufa kwa kansa. .

Mkuu kuna vitu undercover vya hatari. And they make sense
 
Jamani tusibishane sana, tuongee facts. Afu utanipinga kama naongea uongo. Maana inaonesha unatetea sana racism.

1. Ukoloni wa mtu mweusi ulikuepo
2. Watu weusi waliteswa na kulimishwa kwa faida ya wazungu
3. Ubaguzi wa rangi upo
4. Ukoloni mambo leo upo
5. Agenda ya billigate na european nations kupunguza population ya watu weusi ipo
6. Mayweather is the most hated boxer in america kwa sababu ni undefeated
7. Ma black super hero wote wanachukiwa ulaya na wako kwenye hatari ya kupotezwa.

Nafikiri umepata mwanga
acha kulisha watu matango pori kwa kuwajaza ujuha....

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa na mafanikio makubwa ambayo yatakupa power ya watu kukusikiliza ndo hapo wanakuja na kukuua. Faaaaaaaact.....!
Kwanini hawakumuua Barack Obama?
Niambie Obama na Chadwick na mwenye power ya kusikiliza?

Hawa wote wanafanya kazi pamoja kwenye company za marvel ambazo ni za wazungu niambie kwanini hawajauliwa na wanamafanikio zaidi ya Chadwick aliyeingia juzi tu kwenye hizo company.

Kwanini hawajamuua Samuel Jackson?
Kwanini hawajamuua Anthony Mackie?
Kwanini hawajamuua don chiedle?

Hao wote ni wenye asili ya afrika au black kama unavyosema.
Sasa niambie kwanini hawajauliwa mpaka leo na wanamuda mrefu kwenye hiyo company...?

Kwa sababu ni mtu mweusi. Na watu weusi hawapendwi
Hawapendwi na nani?
So na kama hawapendwi basi mimi na ww hatutakiwi kua na ndoto za kua "the great"
Kuwa "The Great" ni nini?
 
It doesnt matter, hata kama yeye sio mtumzi, lakini imagine watu asilimia kubwa duniani wanamuona yeye ndo hero in black face. So now yeye ndo angekua na power na sio mtunzi. Afu pia hawataki any black person awe na kitu kinaitwa super ndo maana wamemudankisha afu wamesingizia kansa ili dunia ione mtu mweusi mdhaifu tu kumbe anaweza kufa kwa kansa. .

Mkuu kuna vitu undercover vya hatari. And they make sense
Hao wazungu watunzi na watengenezaji wa hiyo movie ina maana hawakujua kuwa hiyo movie inaenda kuwa blocbuster movie na waigizaji watakuwa mastar? Marvel studio inajulikana kwa kutengeneza super hero block buster movie ina maana walilitegema hili. Na narudia wamiliki wa hizo studios ni whites, sasa kama walilitegemea kwanini wamuue. Na black panther 2 ilikuwa ina planiwa itoke 2022.
 
Kuna wazungu ambao interest yao ni pesa tu na wengine ni masikini tu. Lakini kuna hawa ambao wako interested na power na ndio wanacontrol dunia. Kua makini. Sio kila mzungu ni mbaguzi ila walio wengi ni wabaguzi na wengine ndo hao wako kwenye position nyeti
 
Kwa hiyo unaamini wamemuua kisa amecheza super hero movie ya black panther? Wangemuua na Obama maana ni influencial kuliko huyo dogo. Point yangu ya msingi kwenye comment zangu ni kwamba hii habari ni ya uzushi hata siyo consipiracy theory bali ni uzushi wa mtandao toka fake channels and blogs zinazosaka viewers.
 
Hii habari haiko kokote isipokuwa kwa watu wa maconspiracy, youtube channels uchwara na vi blog uchwara. Hutoikuta kwenye chombo chochote kikubwa cha habari.
kath coleman ni actress huyu tena mzungu so nashindwa kung'amua apo mkuu
 
inshu ni kwamba ,huyu mzungu kathy ni nin anajalibu kudokeza lazima ili liangaliwe kwa jicho jingine so naweza kusapoti ,kufuangaliwa hili swala kwa jicho jingine mkuu
Kathy ni nani mkuu, sijafatilia kiundani kuhusu huyo kathy
 
It doesnt matter, hata kama yeye sio mtumzi, lakini imagine watu asilimia kubwa duniani wanamuona yeye ndo hero in black face. So now yeye ndo angekua na power na sio mtunzi. Afu pia hawataki any black person awe na kitu kinaitwa super ndo maana wamemudankisha afu wamesingizia kansa ili dunia ione mtu mweusi mdhaifu tu kumbe anaweza kufa kwa kansa. .

Mkuu kuna vitu undercover vya hatari. And they make sense
Jamaa aligundulika na Kansa tangu mwaka 2016, kabla ya movie ya Black Panther amecheza movie nyingi huku akiwa anafanyiwa operations Mara kwa Mara. Jamaa alianza kutembelea wagonjwa wa Kansa na kutoa sapoti Ila hakuwahi kusema hadharani kua ana Kansa, lkn watu wake wa karibu Kama kina Danzel, Tony Braxton walijua hii inshu. Sasa miezi ya nyuma kabla ya kifo chake jamaa alianza kupungua uzito mpk ikafikia hatua watu wakimdhihaki mitandaoni. Ktk kipindi hicho Mara kwa Mara alimpigia simu Tony Braxton ili amuimbie nyimbo Kama kumfariji maana alijua hatopona, hatimaye umauti ulimkuta. Jamaa amekufa kwa Colon kansa, hyo taarifa imetolewa na familia yake
 
It doesnt matter, hata kama yeye sio mtumzi, lakini imagine watu asilimia kubwa duniani wanamuona yeye ndo hero in black face. So now yeye ndo angekua na power na sio mtunzi. Afu pia hawataki any black person awe na kitu kinaitwa super ndo maana wamemudankisha afu wamesingizia kansa ili dunia ione mtu mweusi mdhaifu tu kumbe anaweza kufa kwa kansa. .

Mkuu kuna vitu undercover vya hatari. And they make sense
Badili mtazamo wako, Your too negative
 
Jamani tusibishane sana, tuongee facts. Afu utanipinga kama naongea uongo. Maana inaonesha unatetea sana racism.

1. Ukoloni wa mtu mweusi ulikuepo
2. Watu weusi waliteswa na kulimishwa kwa faida ya wazungu
3. Ubaguzi wa rangi upo
4. Ukoloni mambo leo upo
5. Agenda ya billigate na european nations kupunguza population ya watu weusi ipo
6. Mayweather is the most hated boxer in america kwa sababu ni undefeated
7. Ma black super hero wote wanachukiwa ulaya na wako kwenye hatari ya kupotezwa.

Nafikiri umepata mwanga
Aina ya watu Kama wewe huchelewa sana kupata Maendeleo maana kila hatua unayotaka kupiga unahisi Kuna watu wanakuwangia. Ukishindwa ktk Jambo lawama zote unapeleka kwa watu wanaokuzunguka
 
inshu ni kwamba ,huyu mzungu kathy ni nin anajalibu kudokeza lazima ili liangaliwe kwa jicho jingine so naweza kusapoti ,kufuangaliwa hili swala kwa jicho jingine mkuu
Kwahyo kwa kua kazungumza mzungu unaamini, familia yake kwa kua Ni weusi huwaamini. Vipi Kama huyo Cathy anataka attention tu?. Jaribu kufikiria utagundua kua inshu ya kuwekewa sumu Ni uzushi mtupu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ni UZUSHI Mkuu, FAKE NEWS.

Hii habari haiko kokote isipokuwa kwa watu wa maconspiracy, youtube channels uchwara na vi blog uchwara. Hutoikuta kwenye chombo chochote kikubwa cha habari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom