Uchunguzi wa maiti ya BOSEMAN CHADWICK

Jogookoko

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
531
500
It doesnt matter, hata kama yeye sio mtumzi, lakini imagine watu asilimia kubwa duniani wanamuona yeye ndo hero in black face. So now yeye ndo angekua na power na sio mtunzi. Afu pia hawataki any black person awe na kitu kinaitwa super ndo maana wamemudankisha afu wamesingizia kansa ili dunia ione mtu mweusi mdhaifu tu kumbe anaweza kufa kwa kansa. .

Mkuu kuna vitu undercover vya hatari. And they make sense
Hata bob Marley alikufa kwa kansa,ni majuzi tu ndio imegundulika aliuwawa.
 
onlyalvira

Senior Member
Dec 9, 2013
161
250
Kwann hawajamuua Morgan Freeman
Kwanini hawakumuua Barack Obama?
Niambie Obama na Chadwick na mwenye power ya kusikiliza?

Hawa wote wanafanya kazi pamoja kwenye company za marvel ambazo ni za wazungu niambie kwanini hawajauliwa na wanamafanikio zaidi ya Chadwick aliyeingia juzi tu kwenye hizo company.

Kwanini hawajamuua Samuel Jackson?
Kwanini hawajamuua Anthony Mackie?
Kwanini hawajamuua don chiedle?

Hao wote ni wenye asili ya afrika au black kama unavyosema.
Sasa niambie kwanini hawajauliwa mpaka leo na wanamuda mrefu kwenye hiyo company...?

Hawapendwi na nani?

Kuwa "The Great" ni nini?
 
Josue1994

Member
Mar 16, 2017
21
45
inawezekana kweli wamemuua maana kwa filamu aliyoifanya ilimpa umaarufu sana lakini kama ni mfatiliaji vizuri utakuta umaarufu mkubwa kwenye media zao kaubeba yule dogo aliyekuwa Adui maarufu kama MJ. Ukimwangalia Chadwick sio mtu wa kupenda makuu na anaonyesha Africanism ile aliyoicheza kwenye Wakanda tabia hizi wakuu na watu wa holywood hawapendagi kwa kuwa inakwamisha Agenda zao....
2. Vyombo kama cnn na bbc ni baadhi tu ya vyombo vyenye propaganda sana ukiona kuna kitu wanakikazania sana jaribu kuzunguka nyuma ya pazia kasome vizuri Mfano. ishu ya Trump utaona media nyingi na marais waliopita wanampiga vita lakini ukisoma ukweli wa mambo aliyofanya Trump utamchukia Obama milele. SOLUTION ni kujitahidi kusoma as many sources as possible soma Media za US, Russia, UK, China, Africa, Korea, Japan na zingine kisha chakata taarifa bila kusahau conspiracies zote soma halafu fanya tathimini binafsi vinginevyo usikubali chanzo kimoja cha taarifa kukufikisha kwenye hitimisho na uamuzi.
3. UBAGUZI WA RANGI sio kitu halisia ni propaganda za kucheza na akili zetu. Mtu akikunyima haki yako ni amekunyima tu haki yako ashughulikiwe kwa kukunyima haki yako kama mwananchi na sio rangi yako, tusiingize sababu za rangi kwa sababu zinatufanya tuzidi kuwa wanyonge na kuonekana kama hatuna haki kama wengine.
AMKA AFRIKA
AMKA AFRIKA
 
Guevara Jr

Senior Member
Mar 29, 2017
166
500
Mtoa Mada ana kitu ila namna ya kukitoa na kushawishi watu wamuamini ndo anapungukiwa hoja na mifano. Chadwick anaweza kweli kuwa kauliwa au lah!. Dunia inaendeshwa hii na mambo mengi yanatokea kwa sbb tena za kibinadamu na katika mikakati hii ya kiulimwengu, kuna wazungu na blacks.
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
2,484
2,000
Huwezi kutana na mtu anayeamini conspiracy theories akiwa na hela au utajiri. Akili zao uwa ni mgando na uishia kuishi kwa matumaini yasiyo na reality. Character ya kuwa conspiracy theorist na kuwa maskini zinaendana. Ndio wale waliokuwa wanauza CD za Freemasons miaka ya 2010s zikiwa na picha za Obama, Pope na Rick Ross.

Chadwick kagundulika ana stage 3 cancer miaka zaidi ya mitatu nyuma.
 
Mar 20, 2020
89
125
inawezekana kweli wamemuua maana kwa filamu aliyoifanya ilimpa umaarufu sana lakini kama ni mfatiliaji vizuri utakuta umaarufu mkubwa kwenye media zao kaubeba yule dogo aliyekuwa Adui maarufu kama MJ. Ukimwangalia Chadwick sio mtu wa kupenda makuu na anaonyesha Africanism ile aliyoicheza kwenye Wakanda tabia hizi wakuu na watu wa holywood hawapendagi kwa kuwa inakwamisha Agenda zao....
2. Vyombo kama cnn na bbc ni baadhi tu ya vyombo vyenye propaganda sana ukiona kuna kitu wanakikazania sana jaribu kuzunguka nyuma ya pazia kasome vizuri Mfano. ishu ya Trump utaona media nyingi na marais waliopita wanampiga vita lakini ukisoma ukweli wa mambo aliyofanya Trump utamchukia Obama milele. SOLUTION ni kujitahidi kusoma as many sources as possible soma Media za US, Russia, UK, China, Africa, Korea, Japan na zingine kisha chakata taarifa bila kusahau conspiracies zote soma halafu fanya tathimini binafsi vinginevyo usikubali chanzo kimoja cha taarifa kukufikisha kwenye hitimisho na uamuzi.
3. UBAGUZI WA RANGI sio kitu halisia ni propaganda za kucheza na akili zetu. Mtu akikunyima haki yako ni amekunyima tu haki yako ashughulikiwe kwa kukunyima haki yako kama mwananchi na sio rangi yako, tusiingize sababu za rangi kwa sababu zinatufanya tuzidi kuwa wanyonge na kuonekana kama hatuna haki kama wengine.
AMKA AFRIKA
AMKA AFRIKA
Waambie mkuu . Nimejaribu kuwaeleza kila siku lakini wanakuaga wakali kama mbogo. Adui ya mkombozi wa afrika ni muafrika mwenyewe. Ukitetea mtu mweusi atakae kupiga vita ni mtu mweusi mwenyewe.
 
kipozi

JF-Expert Member
Jan 23, 2015
1,017
2,000
Nimefatilia comment zako ndugu yangu unahitaji kubadili mtazamo you're too negative na hujui mambo mengi na hata mafanikio yako kimaisha hayawezi kua makubwa
Waambie mkuu . Nimejaribu kuwaeleza kila siku lakini wanakuaga wakali kama mbogo. Adui ya mkombozi wa afrika ni muafrika mwenyewe. Ukitetea mtu mweusi atakae kupiga vita ni mtu mweusi mwenyewe.
 
shungurui

JF-Expert Member
Sep 1, 2008
3,606
2,000
Jamaa muda wake ulifika mwisho kwa mujibu wa mkataba wake, sasa hivi anafanya majukumu mengine.

Tatizo watu weusi tunawaona watu weupe ni saint sana ila mngejua chanzo cha utajiri wao na umarufu wao, wala usinge umizwa kichwa,

kama ni msomaji wa bible vizuri utajua kuwa tajiri anatengezwa kuwa tajiri, na maskini anatengenezwa kuwa maskini, yaani ni kwamba hakuna mtu anayejitengeza kuwa tajiri au maskini,

najua hili ni ngumu kwa wengi kuubali maana tumekuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa sana, na wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana, kiasi kwamba ule uongo ndio umechukuliwa kuwa ukweli, na ukweli umechukuliwa ndio uongo, hii ndio kazi ya mtawala wa dunia hii.
 
SumaEvara

Senior Member
Dec 27, 2018
126

🤔🤔
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom