Uchunguzi wa mabomu Arusha

Uchunguzi wa mabomu Arusha

Writer: NA

Let Us Take a break......
Jeshi la Police limesema kuwa limekama watu 6 kwenye Sakata la Bomu la Arusha na mmoja akiwa yule kijana mwenye Jina la Kikristo ambaye ni Dereva wa Boda Boda na wale wengine hawajatajwa. Mtoto aliyeshuhudia tukio alisema aliona watu wakiwa kwenye gari wakarusha bomu wakasepa....Najiuliza maswali matatu hapa.

1. Kuna Ulazima gani wa Kutaja Jina la Dereva wa Boda boda jina la Kikristo ili tuone nini nyuma yake?Kuwa Wakristo wanahusika katika Kulipua Makanisa??

2. Hawa Wengine wasiotajwa Majina ni akina nani??wanaishije nchini??waliingia lini??sio kwamba kuna danganya toto hapa ya kupenda kutaja raia wa nchi zingine katika mambo sensitive kama yule wa Ulimboka walisema Mkenya??

3. Hivi kweli kabisa hakuna Uhusiano wowote wa.......Ok wacha niishie hapa maana nilitaka Kuongea kauli ambayo ningeitwa "mchochezi".

What is the logic ya dereva wa boda boda kutajwa jina tena la Kikristo??yaani jambo hili mbona roho yangu inaukakasi??
Miaka ya nyuma Mtikila aliwahi kumwita Jakaya ni GAIDI na hakushtakiwa SASA NAAMINI KAULI YA MTIKILA!
 
JK ni RAIS wa nchi yako, usipomuamini yeye utakuwa mfuasi wa Dr. Slaa ambaye hadi leo hajakubali matokeo ya URAIS
Hata yeye kikwete anajua alivyoupata uraisi kwa kuwa danganya masheikh a Lipumba kabla nao wakaingia mkenge sasa wanajuta, wanatamani afe...
 
JK ni RAIS wa nchi yako, usipomuamini yeye utakuwa mfuasi wa Dr. Slaa ambaye hadi leo hajakubali matokeo ya URAIS

Utaamini vipi kama mpaka leo Tume ya uchaguzi wameshindwa kutangaza matokeo ya kura za urais kutoka vituoni? Huyu ni rais wa TEC mpaka hapo watakapotoa matokeo rasmi.
 
Updates!

Katika hao Waarabu wanne mmoja ni askari katika jeshi lao huko wanapotoka! Lets wait and see hawa Waarabu wanaweza kuaachiwa within two days from today! Najua mtaauliza ni kwanini? Hawa jamaa waliposhuka KLM airport walifika Arusha the day before the Bombing happen, na katika utaratibu wa sheria za nchi linapotokea jambo kubwa kama hili lazima serikali iwasiliane na mipaka yote nchini kwa wanaotoka na hata kwa wanaoingia!

Wakati jambo lile lilipotokea siku ya jumapili jamaa hawa Waarabu wanne ndio walikua on transit to the Nairobi Kenya na ieleweke kua jamaa hawa walishikiwa mpakani Namanga, kama nilivyosema hapo juu kua serikali ilishawasiliana na mipaka yote nchini ndipo tukio la hawa jamaa waliposhikwa wakiwa mpakani na kama tunavyoelewa kasumba ya wanaojilipua au kulipua mabomu ni jamii ya watu gani zaidi duniani, ndipo lilipotokea jambo la jamaa hawa kushikwa na kua Suspect kama ndio watakao husika na jambo hili au Lah.

Kikubwa ambacho tunachokisubiri ni waswahili hawa ambao mmoja wao ndio aliyerusha Bomu hilo yeye ndiye
atakayeisaidia Polisi na kusema ni nani walimtuma kufanya jambo hili!

More Updates are coming!

Waarabu, tena wanne, watoke Uarabuni or wherever, all the way to Tanzania, kwa ajili ya kurusha bomu lanye size ya ngumi?????? Tusubiri ripoti kamili ya polisi, lakini hii ishu ya waarabu haijakaa vizuri. Kama ni magaidi toka nje you would expect them to hit hard. Ila hakika inaogopesha. Sina hakika vyombo vyetu vya usalama vimejipanga vipi kuzuia matukio ya hatari kama hili. Je, sehemu za mikusanyiko ni salama tena??
 
Waarabu, tena wanne, watoke Uarabuni or wherever, all the way to Tanzania, kwa ajili ya kurusha bomu lanye size ya ngumi?????? Tusubiri ripoti kamili ya polisi, lakini hii ishu ya waarabu haijakaa vizuri. Kama ni magaidi toka nje you would expect them to hit hard. Ila hakika inaogopesha. Sina hakika vyombo vyetu vya usalama vimejipanga vipi kuzuia matukio ya hatari kama hili. Je, sehemu za mikusanyiko ni salama tena??
Uliyosema yote ni sahihi.
 
Ndugu ccm wanasuka zengwe kwa kuwalaghai wakristu waone kuwa kumbe ni wao,lakini kama ni hesabu wameshindwa mazima.kwa bahati mbaya wanafanya haya watu wako wanajua kabisa ni akina nani au dini gani imehusika.
 
Kwa akili zako kabisa ukitumwa magaidi uta wafuata hao?

hajakosea ndugu angalia idadi ya comment zake anatamani ajiquote hadi mwenyewe ili mradi mpunga uongezeke,si unajua baada ya 7,000/- siku hizi kila post moja unalamba 50/-,akizembea ataishia buku tu!
 
Jamani mi naomba tu tuwaombee majeruhi Mungu awasaidie wapone Na awalaze Mahari Pema waliotangulia basi hayo mengine tumuachie Mungu coz hakuna tukio lililotokea Tz likachunguzwa na kuja na Jibu sahihi yani mi najua kabla hatujamaliza hili lingine linakuja
 
Back
Top Bottom