Uchunaji noma

Uchunaji noma

Nawasihi madada kuacha tabia ya kuchuna wanaume kwani maisha yamekuwa magumu watu wote ktk jamii wanapaswa kuzalisha pasipo kujali jinsia ugoli kipa ulikuwa zamani
je mfumo dume utaisha lini.??..usipoisha uchunaji ni constant....
jipange
 
Mtoto wa kiume jikaze kuhonga ndio uwanaume wenyewe sio kulalamika kila muda, kama huwezi kaa pembeni acha wengine tuendelee kula mema ya nchi
 
Kuchunwa kutamu pale unapopigwa chini na mchepuo uliougharamikia a lot.
 
mi siwaelewi kulaleki! Mentor mbona kama bazazi vile! lol!

mara Smile..! mara huyu mrembo anaenirusha roho, tinna cute! na kweli she is cute kulaleki!

saasa naanza vita ya kunyang'anya wake!!

Daaaaah! kumbe nairusha roho yako???? sasa nakuja kuitoa kabisa ngoja ntafute sumaku inisaidie kuvuta mpk niitoe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom