Nasikia kutoka kwenye vyombo vya habari kwamba shilingi ya Tz inashuka thamani na hii inatokana na kutegemea vitu kununua kutoka nje ya nchi. Vikifika nchini vinauzwa bei ya juu sana kwa kisingizio kwamba dola imepanda. JE SWALI LANGU ni kwamba HAWA ndugu zetu waliofanikiwa kusoma mpaka CHUO KIKUU mfano MLIMANI na vyuo vinginevyo wanashindwa kuishinikiza serikali angalao kukawa na viwanda vya KUTENGEZA MAVAZI (jeans,,kadeti,mashati,sketi,blouse,viatu)ambazo zitakuwa na hadhi kama zinazotoka nje,na sisi tuwe tunauza nje ya nchi.Kama rasilimali zipo kama pamba,ngozi nini kinawashinda ninyi WASOMI WA VYUO VIKUU INAMAANA ELIMU MNAYOIPATA NI HAIKIDHI matakwa? NINI SHIDA? WASOMI WA MAMBO YA SAYANSI YA KIKEMIA,MAMBO YA UINJINIA VIWANDANI MNASHINDWA HATA KUTUTENGENEZEA VITU HIVI VIDOGO NAMNA HII, kuna wasomi wengine nasikia huwa inawapeleka nje ya nchi kupata uzoefu wakirudi huwa wanafanya nini?tunauza ngozi ya ng'ombe sh 2000 tunauziwa viatu vya ngozi sh 70000,tunauza pamba kg sh650 tunanunua jeans ya pamba 75% sh 26000.
Wasomi mbona mnatuangusha.
Sahamanin wasomi kwa upeo wangu mdogo..
Wasomi mbona mnatuangusha.
Sahamanin wasomi kwa upeo wangu mdogo..