Uchumi,wasomi na ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchumi,wasomi na ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kondeni, Oct 19, 2012.

 1. k

  kondeni Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia kutoka kwenye vyombo vya habari kwamba shilingi ya Tz inashuka thamani na hii inatokana na kutegemea vitu kununua kutoka nje ya nchi. Vikifika nchini vinauzwa bei ya juu sana kwa kisingizio kwamba dola imepanda. JE SWALI LANGU ni kwamba HAWA ndugu zetu waliofanikiwa kusoma mpaka CHUO KIKUU mfano MLIMANI na vyuo vinginevyo wanashindwa kuishinikiza serikali angalao kukawa na viwanda vya KUTENGEZA MAVAZI (jeans,,kadeti,mashati,sketi,blouse,viatu)ambazo zitakuwa na hadhi kama zinazotoka nje,na sisi tuwe tunauza nje ya nchi.Kama rasilimali zipo kama pamba,ngozi nini kinawashinda ninyi WASOMI WA VYUO VIKUU INAMAANA ELIMU MNAYOIPATA NI HAIKIDHI matakwa? NINI SHIDA? WASOMI WA MAMBO YA SAYANSI YA KIKEMIA,MAMBO YA UINJINIA VIWANDANI MNASHINDWA HATA KUTUTENGENEZEA VITU HIVI VIDOGO NAMNA HII, kuna wasomi wengine nasikia huwa inawapeleka nje ya nchi kupata uzoefu wakirudi huwa wanafanya nini?tunauza ngozi ya ng'ombe sh 2000 tunauziwa viatu vya ngozi sh 70000,tunauza pamba kg sh650 tunanunua jeans ya pamba 75% sh 26000.
  Wasomi mbona mnatuangusha.
  Sahamanin wasomi kwa upeo wangu mdogo..
   
 2. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,278
  Likes Received: 2,073
  Trophy Points: 280
  hebu kwanza soma na wewe mpaka chuo kikuu halafu ututengenezee jeans na blause!..ww unafikiri jukumu la kusoma mpaka chuo kikuu halikuhusu? na nani kakuambia thamani ya shilingi inashuka?..huu uvivu wako hautakupeleka popote mp..zi wewe
   
 3. I

  Israel masawe Senior Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kakuudhi au mnautani gani mbona makubwaa! Kweli uchumi unadorora wasomi wanakula salari tuu.
   
 4. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Uchumi haushuki unapanda, hamna data? Sema nini ktk nchi yeyote gdp huwa haireflect uhalisia wa maisha kwani wenye maisha bora wanabaki kuwa wachache..........mambo unayoyasema si rahisi ufikiriavyo......hata hivyo shilingi imepanda na dola imeshuka ukilinganisha tulikotoka mwanzoni mwa mwaka
   
Loading...