Uchumi wa Tanzania wazidi kukua!

Pdraze

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
616
321
Eti uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 6%..je hizi takwimu zinagusa moja kwa moja maisha ya Mtanzania au ndo for political purposes?
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Wanauchumi wanasema uchumi wa nchi unaweza kukua huku hali ya wananchi ikizidi kua nyumu
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
73,743
74,364
Tanzania ni nchi moja ambayo uchumi unakuwa kwa kuendeshwa na wageni, wenyeji wako kwenye vilabu vya pombe. Wajanja wachache ndio tunafaidi, wasioona uchumi wa Tanzania ulivyo mwema na fursa zilizokuwepo ni mabongo lala.
 
Kipis

JF-Expert Member
Jul 23, 2011
491
58

Nakuvutia pumzi!
 
hahoyaya

Member
Apr 24, 2011
89
11
Tanzania ni nchi moja ambayo uchumi unakuwa kwa kuendeshwa na wageni, wenyeji wako kwenye vilabu vya pombe. Wajanja wachache ndio tunafaidi, wasioona uchumi wa Tanzania ulivyo mwema na fursa zilizokuwepo ni mabongo lala.
Mhhhh....bi NYAKOMBA umerudi lini?karibu mwaya c tupo!
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,828
25,528
Uchumi wa Tanzania ni ule unaokua kwenye figures zilizoko kwenye makaratasi,
But kwenye mifuko ya watu,wananchi wa kawaida kama mimi, Uchumi unakua kuelekea chini!!!
 
Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,623
4,278
Mleta mada naungana na wewe ni kweli uchumi wa Tanzania umekua kwa 6%!
maendeleo.jpg
 
Pdraze

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
616
321
Mleta mada naungana na wewe ni kweli uchumi wa Tanzania umekua kwa 6%!
maendeleo.jpg

dah kweli umekua hali ni ileile kwenye shule zetu ona hao watoto af 2nategemea 2pate madaktari,engineers na watu ambao ni patriots huu ni uongo.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
73,743
74,364
Uchumi wa Tanzania ni ule unaokua kwenye figures zilizoko kwenye makaratasi,
But kwenye mifuko ya watu,wananchi wa kawaida kama mimi, Uchumi unakua kuelekea chini!!!

Wewe ulitaka ukuwe wapi? tunakokalia?
 
Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,251
815
Uchumi wa Tz kukua? Hizi zitazkuwa takwimu zimebase kutoka kwa Sinclair na wenzie wanaotuibia madini kila kukicha.
Namshangaa huyo kikongwe Faiza f hapo juu akijisifia upumbavu, eti yeye ni mjanja wakati ni zuzu! Kutwa kucha raslimali za nchi zinaibiwa na akina ff wanatupiwa makombo, wanashangilia na kukenua kama mazuzu. Laana tupu.
 
Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
3,894
1,667
UCHUMI unakuwa kwa buku kumi ya leo ni kama buku moja sasa! Dah sijui tusubiri tuone tutakavyoelekea mbele ya safari!
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
73,743
74,364
Uchumi wa Tz kukua? Hizi zitazkuwa takwimu zimebase kutoka kwa Sinclair na wenzie wanaotuibia madini kila kukicha.
Namshangaa huyo kikongwe Faiza f hapo juu akijisifia upumbavu, eti yeye ni mjanja wakati ni zuzu! Kutwa kucha raslimali za nchi zinaibiwa na akina ff wanatupiwa makombo, wanashangilia na kukenua kama mazuzu. Laana tupu.

Ulifanya nini kuzuia zisiibiwe? badala ya kulalamika na kungoja ufanyiwe si ufanye tukuone na wewe ujanja wako?
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,119
Lets be realistic jamani ebu tupe source ya habari pamoja na vigezo vilivyotumika tuweze vichambua
Maana wakati tunauza zaid ya ounces 500000 za gold kwa bei ya 1600usd kwa ounces lazima waseme uchumi umepanda.Nadhani wametumia kigezo cha GDP
[h=2]Growthindicator controversy[/h]Per capita Gross Domestic Product(GDP per head) is used by many developmental economists as an approximation ofgeneral national well-being. However, these measures are criticized as notmeasuring economic growth well enough, especially in countries where there ismuch economic activity that is not part of measured financial transactions(such as housekeeping and self-homebuilding), or where funding is not availablefor accurate measurements to be made publicly available for other economists touse in their studies (including private and institutional fraud, in somecountries).
Even though per-capita GDP asmeasured can make economic well-being appear smaller than it really is in somedeveloping countries, the discrepancy could be still bigger in a developedcountry where people may perform outside of financial transactions an evenhigher-value service than housekeeping or homebuilding as gifts or in their ownhouseholds, such as counseling, lifestyle coaching, a more valuable home décorservice, and time management. Even free choice can be considered to add valueto lifestyles without necessarily increasing the financial transaction amounts.
More recent theories of Human Developmenthave begun to see beyond purely financial measures of development, for examplewith measures such as medical care available, education, equality, andpolitical freedom. One measure used is the Genuine Progress Indicator, whichrelates strongly to theories of distributive justice. Actual knowledge about whatcreates growth is largely unproven; however recent advances in econometricsand more accurate measurements in many countries is creating new knowledge bycompensating for the effects of variables to determine probable causes out ofmerely correlational statistics.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
73,743
74,364
hata wewe bibi yangu unamatusi
sasa wazee wenye busara tutawapata wap duh!

Kijana hiyo ni busara kubwa sana, nadhani hujawahi kusikia "uchumi tunao lakini tunaukalia"! wala usifikiri ni mabaya hayo na ukayapa maana zisizostahili.
 
Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,363
488
Nimekumbuka ule msemo WANAKWENDA MBELE HATUA MBILI WANASHANGILIA WANASAHAU KUWA MWANZO WALISHAPOTEZA KURA KUMI. Kihalisia wanadaiwa hatua nane
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom