Uchumi wa tanzania kwa mwaka 2025 ulikua vizuri, Tunafunga mwaka na GDP ya $90B

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,866
Reaction score
14,546
kutokana na projection za IMF uchumi wa tanzania ulikadiriwa kukua kwa 7-8% wakati mwaka unaanza: Mwaka wa 2023 kwenda 2024 GDP ilikua $70-$75B lakini mpaka mwisho wa mwaka huu GDP yetu ni ~$90B, ukuaji mzuri sana huu, maaana yake mpaka mwisho wa mwaka 2026 kama ukuaji utakua huu huu basi tutamaliza mwaka na GDP ya $120B na kuifanya tanzania kua katika tano bora afrika ya nchi zenye uchumi mkubwa

1000162745.png

Wakati unaleta hizi porojo unasahau kitu muhimu sana... Makusanyo yote ya Serikali yenu ni 16% ya GDP. Ndio maana tunawapelekea moto kwenye utalii hadi maji muite mma. Tanzania watalii hawatakuja
 
Mbwa wa Samuya wanahangaika wakati mwenyewe katulia zake Mkunazini anakunwa na mkunaji wake.
 
kutokana na projection za IMF uchumi wa tanzania ulikadiriwa kukua kwa 7-8% wakati mwaka unaanza: Mwaka wa 2023 kwenda 2024 GDP ilikua $70-$75B lakini mpaka mwisho wa mwaka huu GDP yetu ni ~$90B, ukuaji mzuri sana huu, maaana yake mpaka mwisho wa mwaka 2026 kama ukuaji utakua huu huu basi tutamaliza mwaka na GDP ya $120B na kuifanya tanzania kua katika tano bora afrika ya nchi zenye uchumi mkubwa

Kazi nzuri sana ya Rais Samia hii
 
Back
Top Bottom