Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
Magufuli is clueless on economics. Jana nimemsikia akisema kwamba wafanyakazi wanaolalamika kwamba maisha ni magumu wakati mishahara yao bado wanapata ile ile. Akasema hao wote wanaolalamika walikuwa wapiga dili! Nikabaki mdomo wazi.
Naona he has no idea kwamba kuna mambo mengi yanasababisha ugumu wa maisha hata kama mshahara ni ule ule. Hajui hata concept ya purchasing power? Vitu vikipanda bei kutokana na uzalisha kupungua, mtu si atalazima kutumia pesa zaidi?! Watu wanakosa kazi kutokana na kampuni na biashara kufa. Hawa wanaongeza utegemezi kwa ndugu zao ambao baadhi ni wafanyakazi wa serikali wanaopata mishahara ile ile, lakini wategemezi wanaongezeka. Serikali inavyoshindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi, anategemea nini kama siyo kuongeza mzigo kwa wazazi, ndungu, jamaa na marafiki ambao baadhi yao ni wafanyakazi wa serikali wanaopata mishahara ile ile!!
Kweli tuna Rais!