Uchumi wa Germany hali ni mbaya

Uchumi wa Germany hali ni mbaya

Kwahiyo tuanze kuomboleza?
.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230525-184541.jpg
 
Mdororo wa uchumi ni jambo la kawaida duniani na hiyo sio mara ya kwanza kwa Ujerumani kupitia hiyo hali na haitakuwa ya mwisho vilevile.

Sisi hapa Tanzania tumekuwa na mdororo wa uchumi toka tulivyotoka kwenye vita na Uganda mwaka 1979 hadi leo lkn wengi humu hawazungumzii hilo kwa sababu hawajui kitu ni ushabiki tu.
 
.
20230402_004132.jpg
 
Uchumi wa Russia mwaka huu mpaka sasa umesinyaa kwa 1.9% , mapato yake ya nishati ya gesi na mafuta yameanguka kwa 50% na pengo la bajeti yake limeongezeka kwa 17%.
 
Tatizo wewe unadandia gari kwa mbele, mind set nyingine ya kibongobongo. Unajua ni kwa nini nimem-challenge hivyo? Issue hapa siyo hiyo habari ila issue ni huyo mjinga analeta ushabiki mbuzi wa kilimbukeni..

Upinde taarifa za West zinawauma sana. Nilivyoandika thread ya kuanguka kwa uchumi wa Germany wewe imekuuma? Au wewe ni mjeruman mweusi??. Kama wewe ni mwanaume nawasiwasi
 
Uchumi wa Europe ukiyumba na US haponi. Degree of economic and financial integration kati ya EU na US ni kubwa sana. Ajiandae na " New Marshall Plan in the 21st century"

Maana US main market zake ni Europe sasa hawa jamaa wakiyumba sijui atauza wapi bidhaa zake na kumbuka bidhaa zake ni expensive Africa hatuwezi kuafford. Kule Asia, Africa, Latin Mchina kakamata soko.
 
Uchumi wa Russia mwaka huu mpaka sasa umesinyaa kwa 1.9% , mapato yake ya nishati ya gesi na mafuta yameanguka kwa 50% na pengo la bajeti yake limeongezeka kwa 17%.
Ulete na data kutoka kwenye vyanzo vinavyo tambulika kimataifa na sio kutoka kichwani mwako.
 
.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2634741

Hata dollar ni shida kupata bank, kupata dollar 1000 tu ni mtihani kwa sasa. Ngoja tuone hii vita ila tulisema, Russia ni nchi kubwa kuipa vikwazo ni kuhatarisha uchumi wa Dunia. Kuna watu wanakwambia Russia maskini, Russia alikua anashikilia uchumi wa West kwa asilimia kubwa sana.
 
Mdororo wa uchumi ni jambo la kawaida duniani na hiyo sio mara ya kwanza kwa Ujerumani kupitia hiyo hali na haitakuwa ya mwisho vilevile.

Sisi hapa Tanzania tumekuwa na mdororo wa uchumi toka tulivyotoka kwenye vita na Uganda mwaka 1979 hadi leo lkn wengi humu hawazungumzii hilo kwa sababu hawajui kitu ni ushabiki tu.

Tatizo ni vikwazo kwa Russia uchumi wa Germany haukua wa kuingia Recession leo hii.
 
Uchumi wa Russia mwaka huu mpaka sasa umesinyaa kwa 1.9% , mapato yake ya nishati ya gesi na mafuta yameanguka kwa 50% na pengo la bajeti yake limeongezeka kwa 17%.

Russia mwaka huu kaingia top 10 ya mataifa tajir, WB walisema uchumi wa Russia unategemea kukua, Russia inflation iko chini. Kwa vikwazo alivyopewa Russia niliexpect uchumi wake kuanguka kwanini Germany????
 
Back
Top Bottom