Uchumi wa Germany hali ni mbaya

Uchumi wa Germany hali ni mbaya

Angejiiza kwanza kwa nini hiyo habari imegonga sana headlines kwenye media nyingi kubwa duniani
Tatizo wewe unadandia gari kwa mbele, mind set nyingine ya kibongobongo. Unajua ni kwa nini nimem-challenge hivyo? Issue hapa siyo hiyo habari ila issue ni huyo mjinga analeta ushabiki mbuzi wa kilimbukeni..
 
Wewe kaa kinanga-nanga ukishabikia mambo yasiyokuhusu ukidhani wenzako wataanguka kumbe wewe ndiyo utakiona cha moto. Tanzania tunaendesha serikali yetu kwa kutumia hawa, hivyo wakitetereka sisi tunakufa..
Sijaona mahala aliposhabikia
Ila ameleta habari kama ilivyo toka CNN na DW.
Watu kama nyinyi ndio huvunja TV pale ikitangaza kitu usichokipenda.
 
Una elewa maana ya recession?
Hali hiyo ingeipata Urusi ,vipi?
Wangeimba nyimbo zote kuwa vikwazo vimeua uchumi wa Urusi tayari. Wanheshangilia na kuimba nyimbo na Kila aina ya shagwe nderemonna vifijo.
Hii ndo kupenda inaitwa .
USA akijamba watasema kapumulia nyuma.
Kijikwaa na Akianguka watakumbia anazuga TU ni mtego Kuna mtu kategwa.
 
images (4).jpeg
 
Wale ni maadui kila mtu anamuombea mwenzake njaa ili aprove point yake ni kama wewe unavyofurahia uchumi wa ujeruman kuwa katika hali mbaya hio ni nature ya binadamu wote
 
Wewe kaa kinanga-nanga ukishabikia mambo yasiyokuhusu ukidhani wenzako wataanguka kumbe wewe ndiyo utakiona cha moto. Tanzania tunaendesha serikali yetu kwa kutumia hawa, hivyo wakitetereka sisi tunakufa..
Bora mfe ili kije kizazi kinachojielewa ili kujenga Africa mpya
 
Back
Top Bottom