Uchumi wa Germany hali ni mbaya

Uchumi wa Germany hali ni mbaya

IMG_1003.jpg
 
Usipgope outcome za maisha utajikuta hakuna jambo lolote lile unafanya kwa kukuogopa kufail
Mkuu unaonge unjinga, unajua kabisa ukikosa mafuta au gesi viwanda unavyo vitegemea kwenye uchumu vina suffer na viki suffer uchumi unakufa alafu unaenda kuharibu bomba kisa huogopi lolote, una akili wewe?
 
Upinde taarifa za West zinawauma sana. Nilivyoandika thread ya kuanguka kwa uchumi wa Germany wewe imekuuma? Au wewe ni mjeruman mweusi??. Kama wewe ni mwanaume nawasiwasi
Bongo mindset! Kwani hata kama mimi siyo mwanaume kuna shida gani? Kunakwamisha bingwa wa uchumi kama wewe kupanga mipango ya nchi yetu? 🤣 🤣 🤣
 
Eu waliingizwa Cha kike[emoji1]
Hakujawahi kutokea urafiki kati ya paka na panya au simba na nyumbu. EU wamejichanganya sana kwa USA na kinachowatokea hawana budi kukikabili kwani wamejiingiza kwenye mtego wenyewe.

Germany, Italy & France ni mataifa makubwa lakini zilikuwa zinapewa presha ya kuweka vikwazo na kutoa misaada kwa UKRAINE na nchi kama POLAND.

Poland ni kibaraka wa USA na alitumia uanachama wake vizuri wa EU kuzipelekesha nchi kubwa na zenye uchumi mkubwa ulaya..
 
Marekani anaua ndege wawili kwa jiwe moja, anamnyoosha Mrusi na anambana EU aliyekuwa anaanza kuinua kiburi dhidi yake ,hasa kwenye tarrifs za kibiashara , usicheze na Uncle Sam , Uncle Sam plays a long game .Ni master wa hizi kazi .

Du marekani anawatesa wenzake
 
Germany ndiye giant wa Ulaya kiuchumi anatetereka.

Kwa kifupi hali ya uchumi kwa mataifa ya Ulaya ni mbaya sana

Hayo mataifa mengine nayo uchumi wao unakua kwa asilimia 0 point kadhaa

Na bado wanapigwa na high unemployment rate
Hali hii ni dunia nzima ,kiufupi tupo kwenye recession ingawa haijatangazwa , wewe hapo na uchumi wa kuunga unga unajiona uko salama sio ? , Na uchumi wa kutegemea mikopo na handsout toka ulaya na Marekani Una guts za kuicheka Germany , kiufupi mlitakiwa kulia na kuomboleza kabisa kwa yanayoendelea , unafikiri hizo nchi zikipata mdororo wa uchumi ni nini kitu cha kwanza watafanya kama sio kukata hizo handsout ,grants na loans kwenda nchi masikini hizi kama Tanzania ambazo nusu na pengine zaidi ya nusu ya bajeti zake ni hiyo mikopo na misaada ?
 
Wengi hawajui dunia tunaelekea pabaya sana kiufupi mimi sipendi kabisa hii vita ,uchumi wa dunia uko linked Kwa nyanja nyingi sana ,ukiona mmoja anatetereka hiyo ni harufu ya hatari na itaathiri wengine pia ,mfano hizi recession zikiwa severe Europe na USA hata hizo nchi za asia mfano china ,india nk hazitabaki salama ,watasuffer vibaya ukizingatia kwanza ,raia wao wengi bado ni poor na wanazalisha kuuza kwa wingi nchi za ulaya na Marekani sasa hilo soko liliteteleka watamuuzia nani mwenye purchasing power hiyo , huoni kwamba wao uchumi wao pia utadorora na kuathirika pakubwa pia ? ,Afrika ndio hiyo ,poor old continent linalotegemea mikopo na misaada toka Europe na North America ,
Hiyo ni feedback loop moja hatari sana
Uchumi wa Europe ukiyumba na US haponi. Degree of economic and financial integration kati ya EU na US ni kubwa sana. Ajiandae na " New Marshall Plan in the 21st century"
 
Siyo kweli, uchumi hauko hivyo. Ndio maana pamoja na China kuwa mshindani mkubwa wa US, lakini US haombei China afilisike. Only in Africa ndo mwenye duka anaweza kumuombea mtumishi apate redundance.
Wengi hawajui economics inavyofanya kazi ndio shida ,ni malaymen tu wapo tu na ushabiki wa vijiweni , uchumi wa dunia kwa sasa ni symbiosis , ikitokea hitilafu mahala ni shida katika mfumo mzima
 
Back
Top Bottom