Hujui unaloongea wewe , nionyeshe ni sarafu ipi imepanda thamani dhidi ya dollar ,tangia vita ianze , halafu kuna kitu wengi mnachanganya kuna deflation na inflation , US federal reserve wamepandisha interest rates ,hiyo ya kujidanganya dollar itashuka thamani ni ndoto za akina cha za watu wasiojua economics ,
Kama unataka kujua tuko kwenye deflation au kuhadimika kwa US dollar nenda benki katafute USd kesho au waulize wafanya biashara wanaofanya biashara ya kuimport bidhaa nchi za nje wakupe habari ya maumivu wanayoyapata kwa sasa kwenye upatikanaji wa dollar na kushuka kwa thamani ya pesa dhidi ya dollar kwemye kuagiza mizigo nje ya nchi .
Na hili actually anayeumia na kuwa looser ni nchi masikini hizi ombaomba zisizo na mbele wala nyuma kama Tanzania hii ,wala msijidanganye .
Kwa sasa currency nyingi zimeshuka na zinazidi kushika thamani dhidi ya US dollar , na hiyo inapelekea hata imports kuwa gharama kubwa ,vitu kama madawa , fuel , mitambo , Electronics , nk ,hizo bidhaa nyingi hazizalishwi third world countries kama hizi za Africa ,sasa unafikiri ni nani anaumia hapo , Marekani yeye atabenefit kwenye global trade maana ataweza kuendelea kutumia pesa kidogo na kubuy bulk quantities ya bidhaa maana thamani ya pesa yake ni kubwa ,
Na mnapoongelea debt ceiling wengi hawaelewi hata ni nini , ile ni limit iliyowekwa au ukomo wa serikali ya Marekani kukopa , na debt ceiling imeshakuwa raised mara sabini na zaidi tangia hiyo policy ya ukomo WA kukopa /debt ceiling ianzishwe hapo Marekani , kinachotokea saa hivi ni mgongano wa kisiasa kati ya Republicans na democrats kutokana na uadui wao na ugomvi wao wa kisiasa .