Uchumi wa Canada una nini cha ziada?

Uchumi wa Canada una nini cha ziada?

Canada wana mafuta mengi sana Na vile vile mining and manufacturing sectors ziko vizuri sana
It's a diversified economy

Natural resources unawez kuwa nazo nyingi kupindukia lakini ukashindwa namna ya kuzitumia kukunifaisha.

Case in point, Nigeria.

Msingi wa uchumi mzuri ni utawala bora na utawala wa kisheria.

Kuna nchi wala hazina rasilimali asili nyingi lakini zina uchumi mzuri, mkubwa, na ulioendelea.
 
Japan waliombwa na Nigeria wafute madeni walikataa
waliwaaambia mafuta mliyouza tu since independence yanakaribiana na kiwango cha uchumi cha South Africa...
 
Natural resources unawez kuwa nazo nyingi kupindukia lakini ukashindwa namna ya kuzitumia kukunifaisha.

Case in point, Nigeria.

Msingi wa uchumi mzuri ni utawala bora na utawala wa kisheria.

Kuna nchi wala hazina rasilimali asili nyingi lakini zina uchumi mzuri, mkubwa, na ulioendelea.

Very true dawg
Ndio maana hii hype Ya kugunduliwa kwa oil and gas Tanzania inaweza isilete maendeleo yoyote kama hakuna good governance and rule of law bongo
Nigeria ni member ww OPEC lakini ukienda to a local gas station aidha wese hakuna au foleni Ya mita 300
 
Unakumbukumbu..tulikuwa tunakaa nyuma then vimaswali
Kilimo cha ngano? Canada
Kilimo cha ndizi? Jamaica
Ufugaji wa ng'ombe? Denmark
Ufugaji wa samaki? Norway
Kilimo cha mpira? Malaysia
Kilimo cha mahindi? Marekani

Nilikuwa makini sana..maana mhindi alikuwa anachukua karanga au kababu
Burma ndiyo ilikua na kilimo pendwa...Kilimo cha mpunga Burma.
Enzi hizo wali hadi ukapewa jina la Burma.
 
Hata Sweden wana utawala bora
but huioni top ten
Canada wana produce nini zaidi?

Inaelekea unahitaji kujifunza abc za kiuchumi, utashangaaje kutokuiona nchi ya Sweden kwenye hizo hulizoziita Top ten wakati Sweden ina chini ya watu milioni 10 tu? Kanada inaonekana ina Uchumi mkubwa klk Sweden kwa sababu Kanada ina watu wengi mara tatu ya Sweden, hivyo logically Kanada itakuwa na uchumi mkubwa lkn haimaanishi kwamba ina higher standard of living klk Sweden kuwa mwangalifu hapo, ukubwa wa uchumi usikufumbe macho kwani unategemeana sana pmj na mambo mengine pia idadi ya watu ya nchi husika!
Kiuhalisia Kanada haizidi Sweden kwenye standard of leaving ni kwamba tu Kanada ina watu wengi zaidi lkn kama unaongelea higher living standards Sweden wako juu ya Kanada!
 
Acha kukariri na kujitoa ufahamu
Tanzania ina watu wengi kuliko hiyo Canada
Nigeria ina watu wngi na ina mafuta kuliko hiyo Canada
 
Acha kukariri na kujitoa ufahamu
Tanzania ina watu wengi kuliko hiyo Canada
Nigeria ina watu wngi na ina mafuta kuliko hiyo Canada

Soma vizuri nilichoandika, nimesema pamoja na mambo mengine idadi ya watu inasababisha ukubwa wa uchumi na ndiyo maana ukubwa wa uchumi pekee siyo kigezo ya utajiri wa nchi kuna vigezo vingine kama per capital income au Human develepment index n.k. kwa mfano Uchina ni nchi ya pili wa kama siyo ya kwanza kwa uchumi mkubwa Duniani, lkn Uchina bado ni developing country au India ina uchumi mkubwa klk Uswisi au Kanada lkn India bado ni developing country, sasa utaona sababu ya India au Uchina kuwa na uchumi mkubwa ni kwa sababu wana over 1 bilion people lkn ukija kwenye per capital income bado ni relatively poor countries!
 
Soma vizuri nilichoandika, nimesema pamoja na mambo mengine idadi ya watu inasababisha ukubwa wa uchumi na ndiyo maana ukubwa wa uchumi pekee siyo kigezo ya utajiri wa nchi kuna vigezo vingine kama per capital income au Human develepment index n.k. kwa mfanio Uchina ni nchi ya pili wa kama siyo ya kwanza kwa uchumi mkubwa Duniani, lkn uchina bado ni developing country au India ina uchumi mkubwa klk Uswisi au Kanada lkn India bado ni developing country, sasa utaona sababu ya India au Uchina kuwa na uchumi mkubwa ni kwa sababu wana over 1 bilion people lkn ukija kwenye per capital income bado ni relativela poor countries!

Wewe hujaelewa
hayo yoote yanafahamika
na hapa swali wala halikuwa why Canada ina uchumi mzuri
Swali hapa ni why iwe top ten?
kama ni population zipo nchi zina population kubwa tu
Jiulize why Canada imeizidi South Korea?
mbona South Korea wana population kubwa?
na kamppuni kubwa na wana brand za kimataifa tele?
Samsung peke yake ni kubwa kuliko uchumi wa South Africa
lakini bado Canada uchumi wake ni juu kuliko South Korea..
 
Ndiyo maana nikasema pamoja na mambo mengine nilikuwa tu najaribu kuelezea hapo uliposema kwa nini Sweden haipo kwenye Top ten economies wakati Kanada ipo? Ndiyo nikasema Kanada ina watu wengi klk Sweden ila ukitaka kulinganisha utajiri wa nchi angalia per capital income au human development index na siyo ukubwa tu wa uchumi kwani hii ni Volume tu ambapo huchukuwa idadi bidhaa zote zinazozalishwa na nchi husika, hivyo ukiwa na nchi kubwa kubwa yenye watu wengi zaidi basi ni dhahiri watu watakaozalisha watakuwa wengi zaidi na hivyo kuonyesha uchumi mkubwa na ndiyo maana Nigeria ina uchumi mkubwa klk AK lkn hakuna Muafrika Kusini anayetaka kwenda kuishi Nigeria lkn karibia kila Mnigeria an dream kwenda kuishi AK na wanahitaji viza!
 
Wacanada hawana Ubaguzi kama huku kwetu, Waziri wao wa Ulinzi ni Singh
 
Attachments

  • harjit_sajjan.jpg
    harjit_sajjan.jpg
    20.4 KB · Views: 57
Kila mara huwa naona Canada inatajwa kwenye top ten
ya nchi zilizo na uchumi bora duniani
juu ya South Korea na nchi nyingi tu

kuna mtu anaweza niambia hasa Canada wanafanya nini special
kiwafanye wawe juu kiuchumi?

Mkuu Boss, Canada kulikuwa na tukio moja la kihistoria lililoitwa Klondike Gold Rush ambalo lilitokea katika kipindi cha miaka mitatu tu! 1866 hadi 1899.

Hiyo Dhahabu ilikuwa ni bomba kuliko hata ile ya Kimberly Afrika Kusini.

Hiyo Dhahabu ndiyo khasa iliyowatoa waCanada pamoja na maliasili zingine.

Soma link hii ukipata muda na utaelewa. Klondike Gold Rush - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Wewe hujaelewa
hayo yoote yanafahamika
na hapa swali wala halikuwa why Canada ina uchumi mzuri
Swali hapa ni why iwe top ten?
kama ni population zipo nchi zina population kubwa tu
Jiulize why Canada imeizidi South Korea?
mbona South Korea wana population kubwa?
na kamppuni kubwa na wana brand za kimataifa tele?
Samsung peke yake ni kubwa kuliko uchumi wa South Africa
lakini bado Canada uchumi wake ni juu kuliko South Korea..
Assnte kwa darasa mkuu
Sikujua kuwa Samsung ni Kubwa in revenue kuliko uchumi wa S.Africa
 
Back
Top Bottom