Kila mara huwa naona Canada inatajwa kwenye top ten
ya nchi zilizo na uchumi bora duniani
juu ya South Korea na nchi nyingi tu
kuna mtu anaweza niambia hasa Canada wanafanya nini special
kiwafanye wawe juu kiuchumi?
na hazina kubwa ya mafuta off shoreKila mara huwa naona Canada inatajwa kwenye top ten
ya nchi zilizo na uchumi bora duniani
juu ya South Korea na nchi nyingi tu
kuna mtu anaweza niambia hasa Canada wanafanya nini special
kiwafanye wawe juu kiuchumi?
Unakumbukumbu..tulikuwa tunakaa nyuma then vimaswaliEnzi hizo nadhani Std. V or VI somo la jiografia - kilimo cha ngano Canada huko katika mbuga za Saskatchewan. Nadhani ngano iliwainua sana hawa jamaa.
Hata Sweden wana utawala bora
but huioni top ten
Canada wana produce nini zaidi?
Hata Sweden wana utawala bora
but huioni top ten
Canada wana produce nini zaidi?
Ha ha ha! Sri Lanka ilikuwa chai Mkuu; mpira ilikuwa Malaya (Malaysia). Kuna sufi Australia; buni (kahawa) - Brazil; n.k. Leo mambo hayo yamepitwa na wakati, vijana wanazungumzia hi-tech tu siku hizi.Unakumbukumbu..tulikuwa tunakaa nyuma then vimaswali
Kilimo cha ngano? Canada
Kilimo cha ndizi? Jamaica
Ufugaji wa ng'ombe? Denmark
Ufugaji wa samaki? Norway
Kilimo cha mpira? Siri lank
Kilimo cha mahindi? Marekani
Nilikuwa makini sana..maana mhindi alikuwa anachukua karanga au kababu
Haya mambo ya uchumi huwa yako changamani.
Hivyo kuwa kwenye 10 bora ya uchumi mkubwa haimaanishi moja kwa moja huo uchumi ni bora.
China ina uchumi mkubwa kuliko Sweden lakini ubora wa maisha ya Sweden unaweza kuulinganisha na ubora wa maisha ya China?
Canada wana viwanda vingi tu. Kuna makampuni kibao ya Kimarekani na mataifa mengine yaliyowekeza huko.
Kuna uvuvi, migodi ya madini, mafuta, kampuni ya Bombardier ni ya Canada, na mengineyo mengi tu.
Kumradhi mkuu...limenitoka yeah for real ilikuwa Malaysia...Ha ha ha! Sri Lanka ilikuwa chai Mkuu; mpira ilikuwa Malaya (Malaysia). Kuna sufi Australia; buni (kahawa) - Brazil; n.k. Leo mambo hayo yamepitwa na wakati, vijana wanazungumzia hi-tech tu siku hizi.
Economy of Canada - Wikipedia, the free encyclopediaKila mara huwa naona Canada inatajwa kwenye top ten
ya nchi zilizo na uchumi bora duniani
juu ya South Korea na nchi nyingi tu
kuna mtu anaweza niambia hasa Canada wanafanya nini special
kiwafanye wawe juu kiuchumi?
Kila mara huwa naona Canada inatajwa kwenye top ten
ya nchi zilizo na uchumi bora duniani
juu ya South Korea na nchi nyingi tu
kuna mtu anaweza niambia hasa Canada wanafanya nini special
kiwafanye wawe juu kiuchumi?
Scandinavia naona ndo wanaongoza duniani kwa ubora wa misha
kinchi kama Finland tu hatukiwezi
Umekosea China ipo now Italia iliondolewa
Halafu Bossman unajua kuwa na uchumi mkubwa si sawa na kuwa na uchumi ulioendelea?
Kwa mfano, kwa miaka kama 3 hivi Nigeria iliipiku Afrika Kusini kwa kuwa na uchumi mkubwa Afrika.
Lakini Afrika Kusini bado ilikuwa na more developed economy kuliko Nigeria.
China ina uchumi mkubwa kuliko Ujerumani na Uingereza lakini uchumi wake haujaendelea kama wa hizo nchi.
China ipo G20 haipo G8Zamani nchi saba zilizoendelea zilikuwa USA,Canada,Japan,UK,GermanyFrance na Italy...
original G7 baadae zikawa G8 wakaiongeza Russia...
Sasa kadri tunavyokwenda list inabadilika
now G8 iko China na Italy iliondolewa but sometimes zinaitwa G10 na Italy
inaitwa na China pia...list inaenda ikibadilika