Uchumi: Kama una chanzo kimoja cha mapato wewe ni maskini full stop

Inaonekana una IQ ndogo ndo maana una panic na matusi, 😁😂😂
Matusi na kejeli ulianza wewe,ndio maana nikakupokea kama ulivyokuja,

Kwahiyo huu uzi ndio unajiona una IQ kubwa sio?

Hivi mti mwenye akili timamu anaweza kumuita mwenye chanzo kimoja ni masikini? Hicho chanzo kimoja unajua income yake? Unajua maana ya masikini?

Upumbavu wako umeuonyesha kuanzia kwenye heading yako.
 
Income sio ishu bwana mkubwa, hata iwe trillion as long as ni kimoja bado ni maskin period ukitaka nikudadavulie njoo in box.
 
Endelea kukua na umzingatie mwalimu wako vizuri,umekurupuka,

Siku nyingine ukianzisha uzi usilazimishe kila mtu akubaliane na wewe,na ujibu watu kwa heshima.
Uzi haujakufata wewe mwenye uelewa atanielewa, haiwezekani wote wakawa waelewa humu ndani. Lazima watu kama nyie mwepo tu, nakubaliana na challenge zako.
 
Mwenye vingi anaweza simama kuliko mwenye kimoja
Mtu anayeingiza laki 6 kila mwezi kupitia multiple sources which are not growing or expanding. Na mtu anayeingiza milion 4 kila mwezi with a single source which is also balooning in terms of profit making margin, after ten years who is likely to thrive more than the other if every factor remains constant?
 
Kikifeli unajua huyo alikua na savings kiasi gani? Na ata survive kwa muda gani? Issue inabaki palepale tu,unaingiza kiasi gani haijalishi una vyanzo vingapi,

Mfano mtu anaingiza milioni 10 kwa mwezi kwa chanzo kimoja halafu mwenye vyanzo vitano anaingiza laki 3,

Hapo utamwitaje mwenye chanzo kimoja ni masikini?

Umeuharibu uzi wako kwa
Wewe ni mpumbavu na huna akili,acha kulazimisha kila mtu akubaliane na mawazo yako,

Aliyekwambia kua mimi nina changamoto ni nani?

Punguza ujuaji na ujibu watu kwa heshima ama sivyo utaukimbia huu uzi,usije ukasema hukuambiwa,

Ungekua na akili timamu huwezi kumuita mwenye chanzo kimoja bila kujua anaingiza kiasi gani kwenye hicho chanzo kimoja,utakuja hapo umefungua magenge matatu ya Nazi ya kuuza Nazi na vitunguu,ukakimbilia JF kujifanya mshauri wa maisha ya watu,

Punguza ushauri watu wana mipango yako.
...mkuu acha kubishana kitoto..hakuna tajiri yoyote duniani mwenye chanzo kimoja cha pesa...sasa kama matajiri wana vyanzo zaidi ya kimoja why unabishana na kutoa mfano wa kitoto wa mtu mwenye 10m?.au unaona 10m ni nyingi sana?.jifunze taratibu!
 
Uzi haujakufata wewe mwenye uelewa atanielewa, haiwezekani wote wakawa waelewa humu ndani. Lazima watu kama nyie mwepo tu, nakubaliana na challenge zako.
Ukisha weka uzi JF unakua sio mali yako tena bali ni mali ya JF,na kila mtu anakua huru kuchangia,

Halafu nyie washauri wa hivi mara nyingi hua mmepigwa na maisha kinoma.
 
Upo negative sana badilisha mindset
Sina cha kubadilisha ungekuwa unaelewa kweli habari za uchumi na namna ya ku-handle shilingi kama wanavyofanya bahakresa na wengineo wenye mitaji mikubwa ungejua hilo siyo jambo la kuongea kijumla jumla.

Tanganyika hii wengi ni wale ana duka la hiki akijiongeza sana anafanya ufugaji wa kuku wa kisasa kabla hujamshauri afanye kingine umejiuliza kwanza siku akigawa mtaji upande mmoja ukagoma atarudi wapi kuongeza a-survive kwenye game?
 
Mtu anayeingiza laki 6 kila mwezi kupitia multiple sources which are not growing or expanding. Na mtu anayeingiza milion 4 kila mwezi with a single source which is also balooning in terms of profit making margin, after ten years who is likely to thrive more than the other if every factor remains constant?
Nimemuuliza hili swali mwanzoni kabisa ila akalikwepa.
 
Ukisha weka uzi JF unakua sio mali yako tena bali ni mali ya JF,na kila mtu anakua huru kuchangia,

Halafu nyie washauri wa hivi mara nyingi hua mmepigwa na maisha kinoma.
Uzi ni mali ya JF sawa ila kuna type za watu kama nyie msome then mpite
 
Sina cha kubadilisha ungekuwa unaelewa kweli habari za uchumi na namna ya ku-handle shilingi kama wanavyofanya bahakresa na wengineo wenye mitaji mikubwa ungejua hilo siyo jambo la kuongea kijumla jumla.

Tanganyika hii wengi ni wale ana duka la hiki akijiongeza sana anafanya ufugaji wa kuku wa kisasa kabla hujamshauri afanye kingine umejiuliza kwanza siku akigawa mtaji upande mmoja ukagoma atarudi wapi kuongeza a-survive kwenye game?
Nimesema hakikisha adi chanzo cha kwanza Kimesimama barabara
 
Back
Top Bottom