Uchumi: Kama una chanzo kimoja cha mapato wewe ni maskini full stop

Kanuni nyingine ya uchumi ni kwamba, hakikisha baada ya kujiridhisha chanzo kimoja cha uchumi Kimesimama, hakikisha anzisha kingine hata kama kitakua kidogo ni afadhali uwe na chanzo kingine cha pesa ili ikatokea umefeli upande huu upande wa pili bado unaendelea kukupa matunda.

Kua na chanzo kimoja cha mapato ni hatari mara Mia, amua Leo dunia yako uamuzi ni wako maisha mazuri yana respond kwa wanaochukua hatua sio wanaoishia tu kusoma uzi kama huu.
Asante sana kwa ushauri mzuri
 
Ndo nilikuwa namanisha hicho boss
 
Issue sio una vyanzo vingapi,

Issue ni hivyo vyanzo vyako vinakuingizia kiasi gani? Na mwenye chanzo kimoja anaingiza kiasi gani?

Mleta mada ametumia calculation gani kumwita mwenye chanzo kimoja ni masikini?
Calculation 1 tu iwapo kitafeli icho chanzo presha ndiii
 
Kanuni nyingine ya uchumi ni kwamba, hakikisha baada ya kujiridhisha chanzo kimoja cha uchumi Kimesimama, hakikisha anzisha kingine hata kama kitakua kidogo ni afadhali uwe na chanzo kingine cha pesa ili ikatokea umefeli upande huu upande wa pili bado unaendelea kukupa matunda.

Kua na chanzo kimoja cha mapato ni hatari mara Mia, amua Leo dunia yako uamuzi ni wako maisha mazuri yana respond kwa wanaochukua hatua sio wanaoishia tu kusoma uzi kama huu.
Mbona mimi nina chanzo kimoja hadi sasa nakaribia kustaafu nasiwajahi hisinumasikini wowite toka kwangu?!
 
Wengi mnaojifanya mnashauri sana kwenye mipango fedha utakuta hamna chochote zaidi ya kujibunia ideas vichwani na kujifanya mnaziishi kumbe wengine mawinga na waburn cd tu.

Ni kama lecture wa chuo biashara anaifundisha kwenye makaratasi anachanganua mtaji mpaka faida but akipewa 5mill aizungushe cha kwanza kichwani kinakuja anunue bodaboda ampe kishandu amkusanyie 10K kwa siku
Epuka aibu ndogo ndogo sio kazi ya lecturer wa biashara kufanya biashara. Pale anakuwa anafundisha.

Kama unaona anachofanya ni rahisi acha hizo biashara ukafanye huo ukufunzi. Yeye anaweza fanya biashara, ila wewe huwezi kuwa lecturer. Kwahiyo kwake ni maamuzi na sio kushindwa.
 
Kanuni nyingine ya uchumi ni kwamba, hakikisha baada ya kujiridhisha chanzo kimoja cha uchumi Kimesimama, hakikisha anzisha kingine hata kama kitakua kidogo ni afadhali uwe na chanzo kingine cha pesa ili ikatokea umefeli upande huu upande wa pili bado unaendelea kukupa matunda.

Kua na chanzo kimoja cha mapato ni hatari mara Mia, amua Leo dunia yako uamuzi ni wako maisha mazuri yana respond kwa wanaochukua hatua sio wanaoishia tu kusoma uzi kama huu.
Tunapambana sana Kwa sababu ambazo watu walitengeneza kama tutaishi milele
 
Back
Top Bottom