nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
- Thread starter
- #21
Kujimaliza vip wakati zikiwa nyingi ikifa moja nyingine inakuokoaVitega uchumi vingi hasa hizi biashara zetu huwa hazina maisha, zinaweza kukua ila baada ya mda zinakufa. Ukiwa nazo mbili si ndio kujimaliza kabisa