Uchumba wa muda mrefu umenichosha

Hapana. Ninapata huduma zote kama mke na mpaka kuna baadhi ya ndugu zangu anawasomesha. Ni mtu anayeniheshimu sana.
Tunaishi pamoja na huenda hilo ndilo linalomtia jeuri
Sasa unataka uolewe mara ngapi kama mtu mnaishi miaka yote hiyo?
Umeishi na mtu vizuri na amani inatosha na hata kisheria nyie ni mtu na mkewe...sasa ukileta tu hizo harusi za showoff unazotaka utashangaa majanga yatakuanza
Hapo pambania watoto imekuaje miaka yote hiyo 11 hakuna kitu
 
Njoo nikuwowe ndoa kesho tuu kwa upaja huo mbona full burudani.
 
Mbona tayari uko kwenye ndoa, au mpaka upate karatasi ndo unaona ni ndoa. Keshakujua unataka mkataba then udai talaka mgawane mali.
 
Kama unahudumiwa unataka nn ? Mtoto ,? Beba mimba zaa, mengine yatajipa mbele kwa mbele,,,, ! Note; kubeba mimba sio guarantee ya kuolewa,, beba kwa kutaka kwako mtoto na sio vinginevyo
 
Kama wewe ulivyowekwa ndani na huyo shoga mwenzio au sio

Asante, lakini nimekujibu swali, hasira ya Nini sasa? Exactly Kwa Nini huolewi, ni kitu Gani hapo nimesema chastahili kunitukana hivyo? Hakuna mwanaume anaweza taka oa mtu kama wewe, ila kama una tako anaweza kulitumia miaka 11 hata zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…