Uchumba unatakiwa usizidi muda gani?

Uchumba unatakiwa usizidi muda gani?

"Mwanini Vijana Hamtaki Kuoa?"

Tumeanza na Swali Sasa Tujadili: Ukiwahi kuoa mara tu baada ya Uchumba Unaweza Kuoa Mtu Usiyemjua Tabia.

Pia Vijana Mkichelewa Sana Mnaonja Asali.?

Tuambie Kipi ni Kipi?
 
Atleast miaka miwili.

Kwenye uchumba unatakiwa kujua mengi sana kuhusu mpenzi wako na familia yake.

Ujue kuhusiana na background yake, familia yake jinsi inavyoishi kama ni wachawi, makatili.

Unatakiwa ujue magonjwa ya ukoo kama pumu, kifafa n.k

Kwa kipindi kifupi ni ngumu kufahamu yote hayo. Unahitaji muda.
 
Sawa
 
Upendo na maelewano ndiyo vitu vya mihimu. Nyumba, gari, furniture ni material things.

Mtanguluzeni Mungu, fungeni ndoa hata mkoa za kuishi kwenye chumba mtafika mkiwa na malengo
 
Hivi huwa ni wanawake wa wapi mwawaongelea? Maana average joe's ndio naona wanaoa kila kukicha na wanaoa wanawake.
Hamna cha umalaya,,,wanawake wanapenda makuu sana. Mngekuwa mnaridhika na hali kama mam zenu mngeolewa fasta.
 
Atleast miaka miwili.

Kwenye uchumba unatakiwa kujua mengi sana kuhusu mpenzi wako na familia yake.

Ujue kuhusiana na background yake, familia yake jinsi inavyoishi kama ni wachawi, makatili.

Unatakiwa ujue magonjwa ya ukoo kama pumu, kifafa n.k

Kwa kipindi kifupi ni ngumu kufahamu yote hayo. Unahitaji muda.
Kwenye uchawi utajuaje
 
Upendo na maelewano ndiyo vitu vya mihimu. Nyumba, gari, furniture ni material things.

Mtanguluzeni Mungu, fungeni ndoa hata mkoa za kuishi kwenye chumba mtafika mkiwa na malengo
Mhhh sio wadada wa kimjini mjini macho kwenye material things ndio yamekaza kama nini. Mwisho wanaishiwa kuona wanachezewa kumbe mtu anakupima kutokana na ulivyo, kwa wanaume kuoa siku hizi imekuwa mtihani tena mtihani haswa kuna mwaka unaona uanzishe uhusiano utakao kuwa ndoa baadae lakini mwisho wa siku kila unayekutana nae anakukatisha tamaa tuu. Imekuwa mtihani kweli wanawake wenye kiwango cha kuwa Mama wa Familia ni wachache kuwapata ni bahati sana.
 
"Mwanini Vijana Hamtaki Kuoa?"

Tumeanza na Swali Sasa Tujadili: Ukiwahi kuoa mara tu baada ya Uchumba Unaweza Kuoa Mtu Usiyemjua Tabia.

Pia Vijana Mkichelewa Sana Mnaonja Asali.?

Tuambie Kipi ni Kipi?
Miezi 8 hadi miaka 2...inatosha.
Kitaalamu pia mwanamke anatakiwa kuolewa kuanzia miaka 22 mwisho 28.
Mwananume kuanzia miaka 23 hadi 35 ...zaidi ya hapo ni kuzaa mazombi.
 
Hamna cha umalaya,,,wanawake wanapenda makuu sana. Mngekuwa mnaridhika na hali kama mam zenu mngeolewa fasta.
Weeee sikuhizi hakuna waoaji.... Mbona wengine tunadate na watu hawana hata Mia na hatuoni dalili za ndoa
 
Back
Top Bottom