ngina rema
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 215
- 81
Hi!
Wataalamu wanasema uchumba ukidumu kwa muda mrefu sana kabla ya ndoa basi unaweza kuvunjika hasa ukizingatia huu uchumba wa kuvunja amri ya sita.Pia wengine wanashauri uchumba usiwe wa muda mfupi sana kwani kuna hatari ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Je ni muda gani unafaa kuwa ktk uchumba?Hata Wanandoa karibuni kuchangia
maana najua nyinyi mna experience za kutosha kwani kuna wengine mmepata na wengine wamepatikana.
Mkwe wa malkia wa wingereza alisema we had our relationship 4 nineyears and here we r.. Cku ya harusi yao.. Kinachotuponza cc ni tamaa ya kuonjaonja na kutocmamia mahali pamoja... Kuna MTU ninamjua wamekaa 10 yrs na sasa ndo tunapigika na vikao vya harusi yao.. August mwaka huu.. km hauamini nipm ntakupa no ya mmoja wao u just kol ask them... Waliwezaje nanyi mshindweje ... Comeon...