Uchumba unatakiwa usizidi muda gani?

Uchumba unatakiwa usizidi muda gani?

Chukua mda mrefu, narudia tena "mda mrefu" , ukiamua kuoa ama ufupishe maisha au uongoze maisha uliyepangiwa na Mungu. Kosea kujenga nyumba lakini sio kuoa.
 
Mpaka kijana atapoweza kumiliki maisha vizuri. We unaoaje huna nyumba na gari mangi? Usiwatafte lawama mabinti wa kimjinimjini...hakikisha una chenchi za kuwapeleka bata weekend kisha ndio uoe.
Wanawake wana taka mwanaume ambaye tayari ana fedha, ndinga Kali kama una itabid uwe baharia hakuna namna
 
Shughuri pevu kuoa kifupi ni kuwa haina muda maalumu isipokuwa utamfahamu mkeo akisha kuzaa watoto wawili hivi ndipo huonyesha tabia yake kama ni nzuri au mbaya
 
Hamna cha umalaya,,,wanawake wanapenda makuu sana. Mngekuwa mnaridhika na hali kama mam zenu mngeolewa fasta.
Mmhh mbona wapo wanawake wanaovumilia na wanaachwa vile vile?? Wanaume wala hamjui mnataka nini!!
 
Huku kwetu ukimaliza elimu ya msingi tu ruksa kuoa, bila uchumba wala kuchunguzana ile sana na ndoa zinadumu japo mnaziita ‘haramu’ eti sio za kanisani.... hizo zenu za kisasa mnachunguzana na bado vilio kila siku kusaga meno.
 
Back
Top Bottom