Blood of Jesus Christ
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 617
- 1,122
Ni kweli mkuu, kuna wakati inabidi kutumia akili zaidi kuliko hisiaHapana Mkuu kujiendekeza...Kuna muda unajikuta ume act upumbavu kweli,lakini ukigundua ...fasta unacorrect mistake na kujiapiza kutokua coward tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa...mkuuNi kweli mkuu, kuna wakati inabidi kutumia akili zaidi kuliko hisia
Nakupenda bure, mimi Pia mambo ya kujazana miwatu kibaaao inakukodolea macho hapana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee KauzuHuyo Mzee nampa salama njema, aendelee na mfumo wake ambao wengi wameshindwa Ba kuishia kuwa watumwa wa sherehe za harusi kwa gharama kubwa na madeni juu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamaanisha ataoa beki tatu kuokoa gharama.
Kumbuka hahahah kumbuka! Hilo tu usisahau
Haya mawazo au hali ya kupenda vitu vya gharama/vya show off sijui kwa nini mara nyingi huwa wanakuwa nayo watu ambao hata vipato vyao ni vya kulenga kwa manati.
watu kibwena
ufujaji tu wa mali bajet nzima ya harusi unaninnulia IST
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuache huo mtindo wa kutaka kujimwambafy
Utoto unamsumbuaKuna dada mmoja hua anamwambia mchumba wake tukioana nataka uniagizie gauni la harusi nje ya nchi, sitaki la kukodi ama kununua humu humu nataka la kwangu na uniagizie Italy au UK [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
bange huwa haitoki kichwani hata kama ulivuta miaka 50 iliyopita...jamaa dishi limeyumba kidogo
asipokusikia hapa basi tenaNafikiri harusi huandaliwa upande wa kiumeni na ni maamuzi yao kufanya ama kutofanya tafrija.
sasa bibie kama anataka sherehe afanye sendoff na kitchen party kwa sababu sherehe hizi huandaliwa upande wa kikeni
Asikubali kuvunja uchumba wake kisa sherehe jamani.
🤣 🤣 🤣 🤣
Wasalaam
Iko hivi ...Ni rafiki wa karibu wa familia yetu,ameajiriwa na taasisi ya fedha mwaka wa tatu huu Yuko kwenye mahusiano na mdada waliekutana chuo...Ni muda kiasi tunamuita shemeji yetu
Jamaa anataka kutoa mahari,lakini mwanamke amegoma anasema mpaka jamaa akubali sharti la kufanyika harusi
Familia ya jamaa yetu,Ni watu wenye uwezo wao kiasi,ila mzee wao Ni mtu wa kuchukia Sana Sherehe na harusi,anasema atachangia misiba na majanga mengine sio mambo ambayo mtu anayapanga mwenyewe halafu anasumbua watu kwa michango,ndivyo anavyishi
Dada za mshikaji wameozwa Tena kwa mahari ndogo,harusi hakuhudhuria,ila baada ya hapo aliwapa kiasi Fulani (kikubwa) Kama Cha kuanzia maisha,imekua utaratibu wake
Na mwaka Jana Kaka yake mshikaji kaoa kwa mtindo huo huo...alienda half day jmos...akatoka kuwaambia staff wenzie naenda funga ndoa ,hawakuamini,lakini jamaa alifunya ndoa,na home walikuja watu wachache tuu kwa ajili ya evening dinner
Jamaa anasema sio kuwa Hana uwezo,ila Ni namna Anaona atamhuzunisha mzee wake ..mzee wake kamwambia mikosi na mambo ya shetani huanzia kwenye tafrija/Sherehe...anasema Ni kujikweza...jamaa atanye Nini tukivaa viatu vyake?
Sent using Jamii Forums mobile app