Uchumba kuvunjika ...kisa HARUSI

Unatakiwa ukatae hizo pilika pilika kwa sababu huzipendi sio kwa sababu akiba haitoshi
 
Ukute mwenzie kasubiri ndoa na alikua anaipigia picha ndoa flani hiviii halafu Leo umwambie hamna sherehe weeeee.


Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mawazo au hali ya kupenda vitu vya gharama/vya show off sijui kwa nini mara nyingi huwa wanakuwa nayo watu ambao hata vipato vyao ni vya kulenga kwa manati.
 
Mimi nilioa mwaka jana nikaulizwa unataka kuoa vipi nikajibu nataka kufunga ndoa hizo mbwembwe nyingine sizitaki wanandugu walinilaumu sana kwamba kwanini sitaki harusi ila nilisimamia msimamo wangu na ndoa ilipita na tuna ani nzuri sana na mke wangu, mwakani kuna dogo anaoa hapa watu ndo wanakumbuka umsimamo wangu maana hiyo kazi ya kupiga simu kukumbushia michango plus mizunguko wenye shughuli wanajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omba upate mwenye akili kama zako, mama yako kama yupo akuelewe, ndugu zako wakuelewe na upande wa mke waelewe. Hata mm naona ni upuuzi kufanya sherehe.
 
Mkuu tusiwashambulie mabinti tuu ...wako wanaume pia hi kitu wanaipenda...yaani harusi,kwani hujasikia kuhusu beg party (sijui Kama nimepatia,[emoji3])

Sent using Jamii Forums mobile app
Beg party ni tofauti na harusi, mzee.

Ila siongelei habit ya kushereh, naongelea hali ya kuthamin event ya siku moja kuliko agano la maisha.

Kuna girls shida yao watoe gundu tu, wavae shela, but hawapo ktk uhitaji wa agano lenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dada mmoja hua anamwambia mchumba wake tukioana nataka uniagizie gauni la harusi nje ya nchi, sitaki la kukodi ama kununua humu humu nataka la kwangu na uniagizie Italy au UK πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mkuu unaweza kuwa uoifanya vyema Kama ulimpa nafasi ya kuelewa matakwa yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Alijua kabisa maana ilishapita ya kwanza akalilia nikamwelezea kuwa sipend na hainahaja ya party nikamwambia tuta toka diner na ikaisha

Sasa iliofata ikawa kero yan akaanza kufananisha mahusiano ya wengine na yetu kuwa mbona wakina nan walifanya sijui wakina walifanya ahhh nikamwambia kwendraaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…