Uchumba gani huu?

Uchumba gani huu?

.....angekuwa na watoto watatu,wa mama mmoja sawa,ila mama tofauti hapo lazima ufikirie mara mbili my dia.....jiulize kama hakutulia na mmojawapo kwa nini atulie na wewe?

Kuhusu watoto lisikupe presha,hao ni malaika wa Mungu.....and who knows labda uko infertile...huzai.....wewe lea...wanaweza kuwa msaada na faraja kwako hapo baadae....
 
mwambie rafiki yako aache ushamba, mambo ya kuchunguzana yashapitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom