tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
Hahaha ww mchokozi...sasa kama ME
uchokozi gani ww???? labda kweli unajuaje?
Hahaha ww mchokozi...sasa kama ME
Kumbe huwa wanasingizia marafiki
Teh teh teh
........Good idea!!Kwa heshima ya JF ingefaa kesi za fesibuku ziishie huko huko fesibuku.....
kinakuchesha nn??
Kua anajifanya rafiki ake kumbe n Yy
kwani yeye mwenye ndoa tarajiwa amesema anataka ushauri au kihere here chako kuivalia shera harusi ya mwenzio na ushauri anataka katika section gan
a) watoto watatu
b) mama tofauti
c) ndoa mwezi wa pili
(ney-Neema) acha kumsingizia rafiki, wewe olewa kama unataka, kama hutaki sugua bench.
Mjomba acha fujo bana huhuhuuuuuu
Rafiki yangu kapata mchumba huku facebook wamependa kinacho mshtua wamefahamiana, wana wiki 1 jamaa anataka ndoa iwe mwezi wa 2. Pia anataka wiki ijayo akajitambulishe kwao binti na kutoa mahali siku hiyo hiyo. Rafiki yangu kamwambia wachunguzane kwanza! jamaa kasema kachoka kukaa peke yake anachoitaji kuoa kama kuchunguzana wachunguzane mwezi mmoja.
Mwanzo rafiki yangu alimwambia anabint wa miaka 7, baada ya kumbana sana akamwambia ana watoto 3 mama tofauti mh!! jamani naombeni tumshauri asanteni wote!
Hapa kuna hatari ya mtu kuolewa ilimradi tu aondoe gundu..mtu ana watoto wa3 unaenda kua mke au mlezi wa watoto..makubwa!!!
Huyo sio mke ni yaya....
Mme ameshampata alitakiwa aje kuomba mchango tu wa sherehe, watu wakale ubweche. au bibie hataki kuvaa shela nini??