Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Hivi nani ana namba yake, anitupie PM? Huyu mtoto anaweza kukufanya uchukue maamuzi magumu.umeona mkuu wangu huyu binti amenifanya nitamani kuisikia sauti Yake
Hivi nani ana namba yake, anitupie PM? Huyu mtoto anaweza kukufanya uchukue maamuzi magumu.umeona mkuu wangu huyu binti amenifanya nitamani kuisikia sauti Yake
Hahaha! Mkuu, Nahitaji namba, wewe nipatie namba, Nimekuelewa unachomaanisha ila uelewe avatar yangu sikuiweka kimakosa. See it in a bigger picture, they call it, thinking outside the box!Kuna njia za Kiasili cha kuweza kuipata ...! Nifanye mambo uko tayari?
Hahahaha!mkuu ngoja tumuombe mshana jr atengeneze mazingira
Sijambo....shikamooHujambo???
Upppps sorry.......mzuka wa wkend huo.Hii verse inaleta mzuka Kama ni kwenye jukebox naweka coin kama kumi ili ijirudierudie
Wewe rudia tu kusomammmh!!! rudia tena
Kabisa tupunguze stress za maisha ya mtaani....It's okay.... Chilling is part of JF
Usipoingiza yote ndo nafaidi zaidi. ......bora iingie yote unikomoe
Kuna watu wanaitisha vikao vya kulalamikia ukosefu wa tendo la ndoa kwenye ndoa?
Ama kweli watu tumetofautiana.
Hivi mtu unaanza anzaje hata kuyazungumzia masuala yako ya chumbani na mwenza wako kwa watu wengine?
Scratchin' my head!!!!
Hahaaaa .......unanichokoza afu unanisingizia mimi ubora wanguha! haaa! Sister katika ubora wake!
mmmmhhWanaume wengi washaishiwa nguvu za kiume,ndio maana wanakua hawana hamu,au Ana michepuko nje akipiga magoli akirudi home hamu haipo,