Mu-sir
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 3,621
- 1,640
Si kweli... kwingineko wanawake wamekuwa wachoyo sana kwa waume zao... ni kama pande mbili za shilingi mojawanaume wanatesa sana wake zao kwenye ndoa, haswa kwenye suala la tendo la ndoa
Si kweli... kwingineko wanawake wamekuwa wachoyo sana kwa waume zao... ni kama pande mbili za shilingi mojawanaume wanatesa sana wake zao kwenye ndoa, haswa kwenye suala la tendo la ndoa
Mkuu acha kabisa, kisa kifananacho na hicho kimetokea nikiwa mshauri mualikwa mbele ya mama mkwe. I see niliaibika balaa, vile mwanaume mwenzangu analalamika kunyimwa unyumba. Ukizingatia watu wa bara tulivyo na adabu+aibu kwa wakwe, ilinibidi nikae kimya pasi kuchangia lolote.Kuna nyakati unajikuta Kama vile dunia imesimama kwa muda
Huwa ni nyakati ngumu mno kwakweliMkuu acha kabisa, kisa kifananacho na hicho kimetokea nikiwa mshauri mualikwa mbele ya mama mkwe. I see niliaibika balaa, vile mwanaume mwenzangu analalamika kunyimwa unyumba. Ukizingatia watu wa bara tulivyo na adabu+aibu kwa wakwe, ilinibidi nikae kimya pasi kuchangia lolote.
Wanaume wamezidi michepuko.....na kila mchepuko unataka goli 3 na kuendelea unadhani akirudi nyumbani iinakuwaje..... ? Na vyakula vyenu chips kuku ndo kabisa
Niingie ulemavu kwaajili yake?hapana nikoradhi tuachane aendelee na ujinga wake na niendelee na wenye mbavuAtumie mdoli kwan kuna ubaya gani? Mambo ya chumbani yanapelekwa uwanjani? Loh
Usipoingiza yote ndo nafaidi zaidi. ......bora iingie yote unikomoeSasa hivi sina mpango wa kuingiza yote kwani utafaidi sana!
Kazi zipi.....?Nadhani tatizo wanaume tunatumika sana" kazi zimekua nyingi mpaka tunashindwa kujigawa mtuvumilie tu
Aisee mfano kuna wazazi hapo unadhani utajisikiaje? maana hata ukweni hutakwenda kuwasabahi kwa kuona aibuWatu wanatofautiana kikao kimoja pale kwa kabuma mtoni kwa Aziz Ally mwaka juzi mwanamke bila haya alisema mbele ya kikao kuwa mumewe anapenda kuruka ukuta (yeye alitumia neno baya zaidi) baadhi ya watu waliondoka kwenye kile kikao... Kuna watu wamepinda kuliko upinde
mmmh!!! rudia tenaUsipoingiza yote ndo nafaidi zaidi. ......bora iingie yote unikomoe
umeona mkuu wangu huyu binti amenifanya nitamani kuisikia sauti YakeHii verse inaleta mzuka Kama ni kwenye jukebox naweka coin kama kumi ili ijirudierudie
Hujambo???Usipoingiza yote ndo nafaidi zaidi. ......bora iingie yote unikomoe