Uchomaji wa kadi za CCM

Kufwaaaaaa
 
Kufwaaaaaa
Mkuu muwe mnakaa kimya kma mnajya hamna hoja sio mnakuja kulitetea lidikteta humu kma mnaona tunapiga kelele basi mtuache sio mnaanza ooh muda wa kazi ooh nchi gani wanafanya!!!! Mnaboa sana sana naelewa kwanni ssa kina bulaya na mdee huwa wanapandwa na jazba sana bungeni
 
Jiue basi upunguze stress mangi Mtumwa
 
Bul...shit mwenyewe unataka uzunguke nchini kutwambia ujinga gni, kma uchaguzi ulikuwa mwaka juzi mlizunguka mkashindwa kuuza hoja zenu, acha aliyepewa jukumu la kuongoza aongoze huna jipya, kajipange upya 2020 tena upigwe...na bdo tu, utatukana sana awamu hii, hakuna mikutano hata unye kwenye jiwe huna jipya...gakuna wa kuruhusu kuzunguka tena...chiziiiiiii
 
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko[emoji23] [emoji23]
Zinachomwa kinoma huku kitaa
 
Nyani Ngabu, kuna wakati huwa natafakari na kujiuliza kama ni wewe yule wa zamani humu jukwaani au mwingine?
 
Endelea kujifariji
 
You need to take a lesson on logic, bro. Mimi mwenywe nina kitambi na nimetoka kushindilia mlo mwingine wa ukweli lakini najua mtaani na kijijini kwangu wapo wengi tu wenye njaa.
Ha ha ha. Yesu alisema maskini mnao siku zote. .
 
Na wewe unaboa na mifano yako isiyo na uhalisia. Halafu hutaki kujinyonga. Kwa nini?
Mifano si nimeweka huo wa mikutano ya siasa marekani na uganda na congo sasa ulitaka mfano gani wa zaidi kwa hoja yako kuwa siasa nchi zilizoendelea ni mwaka wa uchaguzi pekee

Mkuu mjadala uishe am tired of thi sh**t maana hamna hoja so hatuendi kokote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…