zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,237
- 39,808
Taifa gani??? Hivi akili zako unatumiaje mkuu??? Sheria inasema mikutano haina kikomo maana ndio njia pekee ya kufikia wasio wafuasi na uwape sera zako ili waingie kwenye chama chako hivi unafkiri wakristo au waislam bila mihadhara na mikutano ya injili watawezaje kuhubiri wapagani?????? Je dini zitakuwa kwa size ???Taifa gani hapa duniani linaruhusu huu uhuni? Uchaguzi umekwisha na mmekwisha pigwa chini. Subirini kipindi cha kampeni na hiyo M4C yenu.
Kama ni msimu kwanni mnaogopa mikutano ya hadhara??? Mnajua sana chadema wakipewa majukwaa ccm inapukutika zaidi ya 2015 cha kushangaza mnazuia afu mnakuja humu kujitia moyo kuwa ulikuwa msimukalikuwa kamsimu tu,
Wakitaka mikutano ya kisiasa, waende Kenya wakamsaidie ndgu yao uhuru, ndo kuna uchaguzi mwezi wa nane.Taifa gani hapa duniani linaruhusu huu uhuni? Uchaguzi umekwisha na mmekwisha pigwa chini. Subirini kipindi cha kampeni na hiyo M4C yenu.
Vipi Kimbunga cha Makinikia au meanza kutafuna trillion Nyani???Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?
Ni kadi ngapi zilichomwa?
Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko[emoji23] [emoji23]
Umeriport kituo cha polisi?
DohHahahahah
Unawapa za uso
Tatizo hii nchi utoto ni mwingi sana.
Watu wengine ni Uni graduate lakini wamemkabidhi Mange akili zao. Inasikitisha sana kama taifa la kesho.
Angalia kwa sasa hii hoja ya njaa. Kelele nyingi utadhani Tanzania imefikia kiwango cha baa la njaa lililoikumba Ethiopia.
Baada ya muda hizi kelele zinapotea na watakuja na kelele zingine baada ya kupata kipigo kwenye uchaguzi mdogo.
Ungeuliza kuna watu bado wana kadi za Machadema watetezi wa wazungu?Kuna MTU bado ana kadi ya chama cha akina Bashite bado?
Mkutano wa hadhara kwa chadema kuongelea nini? Wangoje kampeni wakishinda waongee mpaka wachoke, muda huu ni wa Maendeleo kwa Sera za chama tawala.Kama ni msimu kwanni mnaogopa mikutano ya hadhara??? Mnajua sana chadema wakipewa majukwaa ccm inapukutika zaidi ya 2015 cha kushangaza mnazuia afu mnakuja humu kujitia moyo kuwa ulikuwa msimu
Wabongo kwa chuki za kijinga ndio wenyewe lakini akilini hamna chochote njozi tuuNyingi ya hizo kadi zimechomwa kwenye nyoyo za raia wa nchi ya ahadi,watabainisha hasira zao miaka 3 na miezi minane ijayo.
Hakuna neno la huruma litakaloweza kubadili msimamo,hatatokea kama ambavyo hajatokea kiongozi yeyote wa kiimani atakaesikilizwa,ni HAPANA TU itatumika.
Kwani magufuli anapomualika polepole huwa anaongea nini?? Mbona mpaka kadi na wanachama wapya aliwapokea??? Mbona kwa ccm halali kwa upinzani haramuMkutano wa hadhara kwa chadema kuongelea nini? Wangoje kampeni wakishinda waongee mpaka wachoke, muda huu ni wa Maendeleo kwa Sera za chama tawala.
Mbona ccm wanafanya!!! Au pale polepole anapogawa kadi na kupokea wanachama hafanyi siasa ila kigaila akipokea kadi na kutafuta wanachama wapya kwenye mikutano ya hadhara ndio inakuwa siasaWakitaka mikutano ya kisiasa, waende Kenya wakamsaidie ndgu yao uhuru, ndo kuna uchaguzi mwezi wa nane.
Nilijua laxima utakuja kwa kuhemka, huwa hujibu mtu kwa hoja ukiambiwa ukweli, sasa matusi ya nini?..Unajiita mwana sheria, tumefanya uchaguzi mwaka juzi tu, kipi kipya ambcho unataka uzunguke nchini kueleza wakati uchaguzi mlishindwa? We ndo GT uchwara bora hata ungeshauri upelekwe mswaada wa kuzuia kampeni hadi ikibaki miaka miwili...walioshinda waendelee kuzunguka na kutimiza ahadi zao, cyp muda wa blah blah, mbna nchi zilizoendelea huu uozo haupo baada ya uchaguzi...tulia kijana acha matusi,Kwani magufuli anapomualika polepole huwa anaongea nini?? Mbona mpaka kadi na wanachama wapya aliwapokea??? Mbona kwa ccm halali kwa upinzani haramu
Mkuu wwe sijui umerogwa ama kwani sheria si inaruhusu mikutano bila kikomo??? Hivi unapozuia upinzani afu ccm unaruhusu kufanya mikutano una maana gani!!! Kwani ccm sio chama cha siasa
Na wwe naye ni great thinker!!! Shame on u
Chadema ndio nini?Kwani magufuli anapomualika polepole huwa anaongea nini?? Mbona mpaka kadi na wanachama wapya aliwapokea??? Mbona kwa ccm halali kwa upinzani haramu
Mkuu wwe sijui umerogwa ama kwani sheria si inaruhusu mikutano bila kikomo??? Hivi unapozuia upinzani afu ccm unaruhusu kufanya mikutano una maana gani!!! Kwani ccm sio chama cha siasa
Na wwe naye ni great thinker!!! Shame on u
Hakuna sh**t kama hivyo popote pale duniani. Hamna cha Congo, Kenya wala Zambia.Taifa gani??? Hivi akili zako unatumiaje mkuu??? Sheria inasema mikutano haina kikomo maana ndio njia pekee ya kufikia wasio wafuasi na uwape sera zako ili waingie kwenye chama chako hivi unafkiri wakristo au waislam bila mihadhara na mikutano ya injili watawezaje kuhubiri wapagani?????? Je dini zitakuwa kwa size ???
Taifa gani duniani anzia kenya uganda burundi rwanda drc zambia kote huko mikutano inafanyika nlikuwa congo rd juzi nlikuta vital kamerrhe anapiga mkutano, kenya kina odinga wamezunguka toka january pia uganda kina nandala mafabi na besigye wanapiga mikutano kma kawa afu tukija bongo hapa eti ooh kazi ssa nyie mnawazidi kenya kwa kupenda kufanya kazi????
Hivi majitu kma nyie mlisoma wapi shule hata umeniharibia sikukuu yangu piece of sh**t
Andamana kamanda ukomboe inji hiiMbona ccm wanafanya!!! Au pale polepole anapogawa kadi na kupokea wanachama hafanyi siasa ila kigaila akipokea kadi na kutafuta wanachama wapya kwenye mikutano ya hadhara ndio inakuwa siasa
BS