<br />
<br />
we pima tu maelezo ya yo yo, utasikia babaangu mzungu, mara doctor, mara nimeolewa na mzungu, mara ananilipa, mara sina kazi nyingine zaidi ya kufanywa na kutembelea gari then mumewe huwa ndo huwa anafua, kupika nk.
mh, huu ni uchokozi au ungese.