Uchochezi?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,826
730,263
IMG-20170507-WA0027.jpg
 
Moja ya uchocheze kuwahi kutokea ktk taifa letu ni huu maana ni ktk viashilia vya uvunjifu wa amani

I really dislike (let me be polite) mtu anaye-assume kila mwenye jina la ki-islam ni muislam. or V/V. What makes you think Mahmoud ni muislam? unajua kuna watu wamelelewa na waislamu kwa sababu ya uyatima au Changamoto nyinginezo za maisha..wakaamua ku-assume the so called majina ya ki-slamu yet they got nothing to do with that faith? same kwa waKristo? Agustino Ramadhani (former bishop of Zanzibar rings?)..wako wengi sana....tuu

Utaitendea haki nafsi yako na wengine kama utaelimika ujue kwamba dini na majina ya watu havina uhusiano. Ni mapokeo tuu. Katika familia yangu...... Mzee ni Msabato mzuri tuu. Mimi ni RC-(tena mseminary), dada anayenifuata ni Muislamu wa swala tano.......nk. Yet upendo upo wa kutosha tuu. Watu kama nyinyi ndo mnatuletea matatizo na mifarakano kwenye familia na jamii zetu kwa sababu ya assumptions zisizo na mashiko.

Masanja
 
Idadi ya waislam wanaomega mdudu inakaribia kulingana na ya ile ya wakatoliki lakini kwa mbali ikizidi ile ya wasabato.
 
I really dislike (let me be polite) mtu anaye-assume kila mwenye jina la ki-islam ni muislam. or V/V. What makes you think Mahmoud ni muislam? unajua kuna watu wamelelewa na waislamu kwa sababu ya uyatima au Changamoto nyinginezo za maisha..wakaamua ku-assume the so called majina ya ki-slamu yet they got nothing to do with that faith? same kwa waKristo? Agustino Ramadhani (former bishop of Zanzibar rings?)..wako wengi sana....tuu

Utaitendea haki nafsi yako na wengine kama utaelimika ujue kwamba dini na majina ya watu havina uhusiano. Ni mapokeo tuu. Katika familia yangu...... Mzee ni Msabato mzuri tuu. Mimi ni RC-(tena mseminary), dada anayenifuata ni Muislamu wa swala tano.......nk. Yet upendo upo wa kutosha tuu. Watu kama nyinyi ndo mnatuletea matatizo na mifarakano kwenye familia na jamii zetu kwa sababu ya assumptions zisizo na mashiko.

Masanja
Kweli kk mi nna mdg wng wa hiari ni mkatoliki jina lke halisi Paul ila kwa kua cc sote ple nymbn tuna majina ya kiislam angebaki na lile jina watu wangefaham km c mmoja wetu na wangemchukulia mtu baki tu so nkampa jina la Feysal hadi leo ni Feysal Feysal Feysal na anavyopenda kutamka assalam alaykum mara inshaallah huwezi kumtambua ila mi najua km j2 huwa anaenda kanisani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom