'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

UDA kesi ya mzee idi simba imefutwa baada ya kubadishwa shitaka na mashahidi,Je,hiyo ndo dira ya maisha bora kwa kila mtanzania
 
UDA kesi ya mzee idi simba imefutwa baada ya kubarishwa shitaka na mashahidi,Je,hiyo ndo dira ya maisha bora kwa kila mtanzania
 
great thinkers fungukeni!mbona mwaniangusha?

Hapo kwenye rangi ya CCM mbona ckuelewi au umekuja kutafuta support ya waimba TAARABU wenzio?

Ila ni kweli hawa CDM wabaya sana walichochea hata wanafunzi wa `FOMU FOO` wakafeli akiwemo MWANAASHA.Kana kwamba haitoshi wakatenda kosa kubwa zaidi kuwashawishi wanaArusha wasiwachague ktk UDIWANI NA UBUNGE KULE ARUMERU.KALI KULIKO YOTE WAKAMSHAURI MKULU NA CHAMA CHAKE WASITIMIZE AHADI ZAO ZA TANGIA 2005-HADI LEO.WANAMJUA KINANA NDIYE UNPROFESSIONAL DENTISTS WA NDOVU WAKAISHIA KUMTAJA BILA KUMFIKISHA MAHAKAMANI!SLAA NA MBOWE NDIYO VINARA WA UBAYA WOTE KWANI HATA WAKIAMBIWA WAJITOE CDM WAJIUNGE CCM WANAKATAA!!!CDM WAMESHINDWA KUMWAJIBISHA ALIYESEMA ...WAPIGWE TU!

 
chochea sana twiga wauzwe nje ya nchi kinyemela. hawa CDM mbaya mno
 
chochea rais asitaje wauza unga huku watu wakipukutika na wengne kuhkumiwa vfungo na kunyongwa ktk nchi za wenzetu. hawa jamaa wachochezi sana bana.
 
Chadema ni wabaya sana, wamechochea rais, mawazir na wabunge wa ccm wapitishe kodi ya kichwa kwa njia ya simu. CDM noma
 
naona tumetoka kwenye 'uchochezi' tumeingia kwenye redbrigade
 
leo mnasema cdm kimechochea waislamu wakagomea sensa kesho mkiamka cdm ni chama cha wakristo hamueleweki magamba mnajichanganya
 
Hizi mbwembwe tu mwisho uko jirani. Watu makini dk tano kabla ya mechi ndo tunapiga jeramba.
 
Humuan being is born with portential of being rational or irrational.
 
KHAAAAA!!! YAAN NILIKUJA SPEED YA 360 KUMBE NDIO HIKI UMEANDIKA??!!! HIVI WE NI MTANZANIA AU NI MUAMIAJI KUTOKA SOMALIA N.K..? UMEANDIKA MAMBO YA AAAAAJUBU AMBAYO HATA Ritz na genge lake hawayajui...kweli viraka hawaishi..
 
Last edited by a moderator:
KHAAAAA!!! YAAN NILIKUJA SPEED YA 360 KUMBE NDIO HIKI UMEANDIKA??!!! HIVI WE NI MTANZANIA AU NI MUAMIAJI KUTOKA SOMALIA N.K..? UMEANDIKA MAMBO YA AAAAAJUBU AMBAYO HATA Ritz na genge lake hawayajui...kweli viraka hawaishi..

pole kwa kuchezeshwa Bakulutu
 
Last edited by a moderator:
Uchochezi wa chadema haukomi?
 
Pia ongezea wakachochea magaidi wa mapango ya amboni tanga pia wachochea sh ishuke thamani zidi ya dolla du
 
Na keshokutwa tarehe 23/6/2015 wako kwenye maandalizi ya kuwachochea madereva wa nchi nzima kuitisha mgomo!!..

Na tangu wiki iliyopita "mmewachochea wamiliki wa vyombo vya usafiri" wa Tanzania ambao wengi ni makada wa CCM waache kuhudhuria mkutano uliondaliwa na "serikali ya CCM" ukiwahusisha madereva ili kutatua mgogoro wa madereva wanaolilia maslahi bora pamoja mikataba ya kazi.

CHADEMA acheni hizo bhaaaana.............na sijui mnataka wananchi waichukie serikali yao na kuinyima kura CCM mwezi oktoba siyo?
 
Back
Top Bottom