Huu ni mtazamo wa wavvu wa kufikiri, na umethbitisha hapa jamvini kuwa ww n mvivu wa kufikiri Mwalimu tangu 2007 walitishia kugoma, madaktar tangu 2001 wanagoma. Je ilikuwa ni chadema au kwa sababu chadema wamevunja ngome za magamba. Au n wafanyakazi kuchoka dhuluma kwa sababu wakubwa wanafaidika wao wanaumia.
'mlichochea' kina mgaya yakapita
'mkachochea' wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
'mkachochea' wamachinga wa mbeya mkayamaliza
'mmechochea' wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa 'kuchochea' waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!
Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!
hebu ona sasa haya ya uamsho na shekh Ponda!
kote huku mkono wa chadema!
Umesahau mengine kama:
CDM wanachochea pia kushuka kwa shilingi,
CDM wanachochea vyakula kupanda bei,
CDM wanachochea matumizi mabaya ya serikali
CDM wanachochea CCM kuendelea kulala kitanda kimoja na mafisadi,
CDM wanachochea CCM kuwa na makundi kuelekea 2015
CDM wanachochea polisi kuuwa kama ilivyotoke kwa Daudi Mwangosi
Ngoja mengine nimeandika kwenye diary nitayaleta baadaye
Hii CDM haifai kabisa Dadangu,ina mkono mrefu sana, inashirikiana na usalama wa Taifa kuwang'o meno wale wote wanatetea haki zao na za wananchi. Ona CDM walivyomfanya Dk.Ulimboka. Shame on you CHADEMA!!!. Hawa CDM wameongoza nchi kwa miaka 5 tu lakini sasa inawaka moto. Na 2015 sitawapigia kura basi!!
Bi Uda,
Naona unawashwa kwa hiyo unahitaji mkunaji wa nguvu ambaye ni Sharobaro!!!
Yote uliyoandika hapa ni kuonyesha jinsi gani hujapata doze ya mwasho wako. Kwa sisi masharobaro tunasema hivi hoja zako ni mfu. Hivi wewe kwa akili yako ya kuwashwa unategemea CHADEMA, chama cha kidini kinachoongozwa tena na Padre aliyehasi kanisa KIWASHAWISHI WAISLAMU KUGOMEA SENSA kweeli????Huo ni mwasho wa kwanza!
Mwasho wa pili unakuja pale unapodai kuwa CDM wanahusika na migomo yote ya Vyuo,Wamachinga,Madaktari,Waalimu na Wakulima wa korosho.Huu ni uongo ulio dhahiri!!!
Je,vipi kuhusu hili la GESI YA NTWARA??Je,CDM alienda kuwahamasisha Wamakonde wagomee GESI ASILIA YAO???Kumbuka kuwa Mbunge wa CCM jimbo la Mtwara mjini alikuwa mstari wa mbele katika sakata hili la Gesi asilia! Je,tusema naye kesha hamia CDM???Vipi kuhusu migomo ya Wafanyakazi kuhusu Mifuko ya Pensheni,Vipi kuhusu migomo ya watu wa Bodaboda,n.k.na n.k???
Bi Uda, hebu acha hizo porojo za kujionyesha wazi kabisa kwamba unawashwa na unataka.......!Kumbuka kwa sasa Watanzania wameshajitambua. Wewe na Mabwana zako wa CCM jueni kabisa kwa sasa mna-deal na Watanzania wa karne mpya, Watanzania ambao wanajua nini kinafanyika wapi,saa ngapi na kwa faida ya nani!! Sahau mambo ya enzi za ujima. Sasa ni kizazi cha dot.com, vijana wanacheza na dunia ikiwa kwene fingertips! Leo ukiiba Dhahabu,Almasi, Pembe a ndovu,Wanyama pori au Gesi asilia, kila mtu atajua na atakuubua tu!!!
Pole sana bi Uda! Kajipange upya,maana katika hili umechemsha!