UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

TAMKO

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,090
Reaction score
763
"Kipande cha nchi Chenye idadi ya wakaazi Milioni Moja Tu Kinaungana na Kipande kikubwa cha nchi chenye zaidi ya watu zaidi ya Milioni arobaini na Tatu, halafu vipande hivi viwili vinakuwa na Nguvu sawa kwenye Kuunda Hatma ya Nchi (Katiba), Huu ni Uchizi.. "Mch Gwajima, Sunday speech Leo.
 
Duh! hayo maneno yametoka bila hata kupitia chekeche, yana ukweli ila ngoja wenyewe waje uskie watakavyopayuka kumponda Gwajima.
 
"Kipande cha nchi Chenye idadi ya wakaazi Milioni Moja Tu Kinaungana na Kipande kikubwa cha nchi chenye zaidi ya watu zaidi ya Milioni arobaini na Tatu, halafu vipande hivi viwili vinakuwa na Nguvu sawa kwenye Kuunda Hatma ya Nchi (Katiba), Huu ni Uchizi.. "Mch Gwajima, Sunday speech Leo.

UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.
 
Hata tundu lissu na chadema walikuwa kinyume na suala la uwakilishi sawa kati ya kijiwilaya na nchi,haiingii akilini kwa mtu yoyote hata kwa mtoto wa chekechea kuwa na wawakilishi sawa toka pande mbili zinazotofautiana sana kwa eneo na idadi ya watu. Mi najiandaa kupiga kura ya hapana kwa katiba mpya
 
UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.

Uamsho wanajiiniza kwenye mambo ya kuhatarisha amani kwa kufanya vurugu na kuchoma makanisa. Gwajima kasema ukweli,population zanz:tanyka= 1:43 itakuwaje kwenye uwakilishi kwenye suala nyeti la kuamua hatima yetu iwe znz:tanyka =1:1? Huu ni uchizi wa magamba wa bara waliobaki kutetea rasimu ya kipumbavu ndani ya bunge
 
Angalia msijemkawa mnatukana baba wa taifa aliyeunganisha nchi mbili hizi! Ohoo, Mwalimu Nyerere ndiye aliyeunganisha hizi nchi mbili na kwa wakati huo population ya ZNZ ilikuwa ndogo zaidi kuliko ilivyo sasa!

Muungano haukufanywa kwa kuangalia idadi ya watu bali hadhi ya nchi zilizounda muungano.
 
kwa hiyo unataka kusema kila alichokifanya na kukiamua Nyerere ni sahihi?
 
UAMSHO wakisema hawataki muungano wanafunguliwa kesi za kuhatarisha usalama wa nchi! Mchungaji akisema, serikali inapiga makofi. Kweli mfumo kristo unafanya kazi yake mchana kweupe ndani ya serikali.

wacha kutokwa na povu!!! huyo mchungaji unayetaka sheria ichukue mkondo wake ametukana dini ya mtu? au kukashifu, au umesikia akihamasisha kuwachukia waislamu? hao unaofikiri wana haki hawajawekwa lupango sababu ya kudai muungano uvunjike na zanzibar iwe na mamlaka kamili bali ni kuchochea na kuwamotivate vikundi fulani kuchoma makanisa na kukashifu dini nyingine wakijiona wao ni wasafi na wenye haki zaidi ya wengine. kwahiyo usiwe zoba fwata upepo.
 
Uamsho wanajiiniza kwenye mambo ya kuhatarisha amani kwa kufanya vurugu na kuchoma makanisa. Gwajima kasema ukweli,population zanz:tanyka= 1:43 itakuwaje kwenye uwakilishi kwenye suala nyeti la kuamua hatima yetu iwe znz:tanyka =1:1? Huu ni uchizi wa magamba wa bara waliobaki kutetea rasimu ya kipumbavu ndani ya bunge

Ndio maana wanataka wawe huru ili wale kutokana na jasho lao na watengeneze mikakati ya maendeleo kutokana na idadi yao,sasa uhamsho au shekh Ponda wakiyatamka haya mnawaita Magaidi na wahujumu uchumi ilhali Mchungaji leo mnamuunga mkono.Nyie watu mbona hamueleweki?.
 
Angalia msijemkawa mnatukana baba wa taifa aliyeunganisha nchi mbili hizi! Ohoo, Mwalimu Nyerere ndiye aliyeunganisha hizi nchi mbili na kwa wakati huo population ya ZNZ ilikuwa ndogo zaidi kuliko ilivyo sasa!

Muungano haukufanywa kwa kuangalia idadi ya watu bali hadhi ya nchi zilizounda muungano.

Ndo maana nimeandka huu kwenye thread mojawapo kwamba mwl nyerere alifanya makosa makubwa sana kuungana na hawa jamaa. Ni wachache lakini usumbufu wao ni kama usumbufu wa utitiri
 
Mi niliyasema haya, huu ni ujinga (nimetumia neno zuri la kiswahili).

Huu muungano inabidi upitiwe upya la sivyo uko mbeleni hakutokuwa Salama.

Hiyo tume ya kushughulikia kero za muungano inatumia fedha nyingi za walalahoi ambazo zingetumika kutatua migogoro ambayo utatuzi wake ungelisaidia taifa, mfano mgogoro wa wakulima na wafugaji katika bonde la Usangu n.k.
 
Hivi Zanzibar kalivyo kadogo...watu wakijaaa na ardhi ikakosekana watasema nini?
 
Back
Top Bottom