Uchepukaji wanitokea puani

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,619
8,291
Wakuu Wasalaam.

Mimi Kirchhoff ni MUME wa Mwanamke Mpole sana na Mnyenyekevu mwenye asilimia 99% za kuwa MKE MWEMA.

Nimetenda dhambi baada ya kupa mwili nafasi utawale roho.

Nimelelewa katika maadili mazuri ya Kikristo na Uma wa watanzannia wenye mapenzi mema.

Nimesoma na Kuelimika vyema.

Ikawaje????

Kabla ya Mungu kunipatia huyu mke mwema, niliwahi kutumia "Busara" yangu ya kibinadamu kutafuta mwenzi. Niliwahi kumshawishi binti mmoja mrembo na mwenye vigezo vya kibinadamu vya kuolewa. Binti huyu ndo alikuwa binti wa 99 mimi kumpenda na nilidhani Ndiye. Maana nilipanga in case wakifika 100 sijaoa basi nichague fungu lingine, Useja.

Baada ya mahusiano ya takribani miezi miwili binti alianza kuniambia kuhusu mpenzi wa kwanza ambaye alimbikiri na anataka kumuoa. Walianza mahusiano Binti akiwa kidato cha tatu. Nilikasirika na kumwambia maneno ya mauzi nikimtaka ampotezee kwani mtu aliyembaka (tafsiri ya Ngono Chini ya 18yrs) asingeweza kumuoa. Binti alikataa tukaamua tuchukue 50 zetu.

Then!!

Baada ya kuachana na binti huyo niliamua kumuachia Hekima ya Mungu afanye kazi. Nikaachana na mambo ya mapenzi kwa muda wa miezi miwili. Hekima ya Mungu Ikafanya Kazi Nikapata Mchumba. Nikayataarifu makoloni yote kuwa sasa ninaachana nayo rasmi na hivyo ninaoa. Nikalipa mahari nikafunga NDOA.

Then!!

Imepita Miaka miwili nikiwa nimebarikiwa Mtoto Mmoja na wapili najaaliwa mwezi huu. Mungu ni mwenye Huruma.

Ndo Nikakutana na yule x mpenzi. Ametoka mtwara alikokuwa akiishi na shangazi yake huku akifanya kazi petrol stesheni mojawapo.
Aliondoka Mtwara akiwa mgonjwa na maelezo yake anadai alilogwa asiweze kufanya kazi.
Na baada ya kurudi arusha mama yake alimpeleka kwa nabii ambaye alimwambia kuwa alilogwa na shangazi yake asiolewe wala kupata mtoto.
Roho iliniuma na pepo mlipiza kisasi akanivaa. Nikapanga mipango mibaya.

Then!!
Baada ya siku kadhaa nilimchukua kwenda shambani ambapo nina ninakusanya material ya ujenzi.Tukiwa pale pepo ngono alinijia nikamsukumia pia kwa yule binti.
wakati tunakaribia kuanza mavindoz ghafla jamaa mmoja akatokea anapalilia palilia maharage yake pale. Basi tukavunga na kuondoka nikimuachia maumivu binti yule.
Wakike wanaelewa maumivu yapatikanayo endapo wataachwa njiani.

Siku zilivyosonga ndo anielezee yalomkuta kwa yule mbikiraji wake.
Kwamba alikuja kugundua kuwa jamaa alikuwa na mwanamke mwingine alomzalisha. lakini bado anamtaka yeye.
Baada ya muda akagundua tena kuwa jamaa kazalisha mwanamke mwingine so jumla wawili. Mie ikabidi nimwambie
tunahitaji kukaa pahala tuzungumze na ikibidi tumalizie kile tulichoanza pale shambani.

Enheee!!
Basi siku moja nilijipa safari ya kikazi ambayo ilinipelekea kuvuta ganja kwa mara ya kwanza (sitarudia tena).
Baada ya kujitoa fahamu nilimpigia msichana yule simu asubuhi na yeye akachangamkia fursa kuwahi nyumba ya wageni niliyokuwa nimepanga.
Tuliburudishana siku nzima bila kondomu (sijui lakini labda bhange ilisaidia kidogo). Pia ilitokana na yeye kutaka ujauzito na mie kuwa na hamu ya kulipa kisasi
kwa yule mbikiraji. Siku hiyo haikutunga kwani baada ya muda aliona siku zake.

Nilipojitafakari nikawaza kuhusu huduma ya mimba (kumbuka nina mke na ni mjamzito wakati huu)na binti mwenyewe pia (yeye na mama yake wanaishi kwa babu)
Hofu iliniingia lakini baada ya majadiliano akaniambia anajishughulisha na ufundi cherehani, pia kwa kuwa wanakaa kwa babu hamna shida atapata huduma cha muhimu
ni yeye apate mtoto wake mmoja tuu aendelee na maisha yake (Isaya 4:1).

Baada ya mwezi nikakutana naye na kwa makusudi tukapeana burudani (maskini ya mungu wife anajua nipo kazini natafuta chochote). Baada ya siku kadhaa ananiambia ana mimba. lakini ana wasiwasi sana.
Nikaona dalili au pepo la kutoa mimba linamfuata (aliwahi kuniambia kuwa tulipoachana mwanzo alikujagundua ana mimba yangu na aliitoa, hali iliyoochangia nipate hamasa ya kummimbisha tena.)
Basi nikamtia moyo akatulia.

Sasa akaanza oohh njoo jitambulishe mama akuone, babu na bibi wakuoneee. Moyo ukalia paa. Mara naomba hela ya Dera sijui mateneti. Mara naomba ada ya ufundi... mambo yamekuwa mengi kwa kweli hadi kichwa kinauma.
Hapa nawaza nitamweleza nini wife na jamii wanielewe. Saa yoyote wife anajifungua aende kwa mama kula uzazi. mchepuko anataka nimpe mda wote. Nimeshaonana na mama yake ambaye amesisitiza ukaribu na huduma ili kuwe na amani.
Nimeona niwe mpole kwanza wife ajifungue.
Kisha nasubiri HESLB wanipe mkopo na TCU wanipe nafasi ya kuongeza elimu ndo nitorokee chuo. Nikwepe hii kirambasi. Ushauri zaidi nipeni.

Nimekosa Sana.
 
mnaboa na tustory twenu twa series! weka mavitu yote hapa tukuchambe wima au tukupe big up!
 
we koma kututia nyege watu wazima hujui wengine ni wazee wenye kisukari tunasimamisha kwa masaa, tukisoma tustori tuzuri kama utu dhen tunakimbia nyumban kumaliza hamu!
 
hahahahahhaha JF raha sana. yaan wengi comments zenu zinaniacha hoi mie
 
Alikutuma nani kuchepuka? Mbona hukuja kuomba ushauri?....wanaume mnaboa sana mna tamaa za kijinga kama sio za kipepo mnapenda kuumiza wenzenu.
 
Wakuu Wasalaam.

Mimi Kirchhoff ni MUME wa Mwanamke Mpole sana na Mnyenyekevu mwenye asilimia 99% za kuwa MKE MWEMA.

Nimetenda dhambi baada ya kupa mwili nafasi utawale roho.

Nimelelewa katika maadili mazuri ya Kikristo na Uma wa watanzannia wenye mapenzi mema.

Nimesoma na Kuelimika vyema.

Ikawaje????

Kabla ya Mungu kunipatia huyu mke mwema, niliwahi kutumia "Busara" yangu ya kibinadamu kutafuta mwenzi. Niliwahi kumshawishi binti mmoja mrembo na mwenye vigezo vya kibinadamu vya kuolewa. Binti huyu ndo alikuwa binti wa 99 mimi kumpenda na nilidhani Ndiye. Maana nilipanga in case wakifika 100 sijaoa basi nichague fungu lingine, Useja.

Baada ya mahusiano ya takribani miezi miwili binti alianza kuniambia kuhusu mpenzi wa kwanza ambaye alimbikiri na anataka kumuoa. Walianza mahusiano Binti akiwa kidato cha tatu. Nilikasirika na kumwambia maneno ya mauzi nikimtaka ampotezee kwani mtu aliyembaka (tafsiri ya Ngono Chini ya 18yrs) asingeweza kumuoa. Binti alikataa tukaamua tuchukue 50 zetu.

Then!!

Baada ya kuachana na binti huyo niliamua kumuachia Hekima ya Mungu afanye kazi. Nikaachana na mambo ya mapenzi kwa muda wa miezi miwili. Hekima ya Mungu Ikafanya Kazi Nikapata Mchumba. Nikayataarifu makoloni yote kuwa sasa ninaachana nayo rasmi na hivyo ninaoa. Nikalipa mahari nikafunga NDOA.

Then!!

Imepita Miaka miwili nikiwa nimebarikiwa Mtoto Mmoja na wapili najaaliwa mwezi huu. Mungu ni mwenye Huruma.

Ndo Nikakutana na yule x mpenzi. Ametoka mtwara alikokuwa akiishi na shangazi yake huku akifanya kazi petrol stesheni mojawapo.
Aliondoka Mtwara akiwa mgonjwa na maelezo yake anadai alilogwa asiweze kufanya kazi.
Na baada ya kurudi arusha mama yake alimpeleka kwa nabii ambaye alimwambia kuwa alilogwa na shangazi yake asiolewe wala kupata mtoto.
Roho iliniuma na pepo mlipiza kisasi akanivaa. Nikapanga mipango mibaya.

Then!!
Baada ya siku kadhaa nilimchukua kwenda shambani ambapo nina ninakusanya material ya ujenzi.Tukiwa pale pepo ngono alinijia nikamsukumia pia kwa yule binti.
wakati tunakaribia kuanza mavindoz ghafla jamaa mmoja akatokea anapalilia palilia maharage yake pale. Basi tukavunga na kuondoka nikimuachia maumivu binti yule.
Wakike wanaelewa maumivu yapatikanayo endapo wataachwa njiani.

Siku zilivyosonga ndo anielezee yalomkuta kwa yule mbikiraji wake.
Kwamba alikuja kugundua kuwa jamaa alikuwa na mwanamke mwingine alomzalisha. lakini bado anamtaka yeye.
Baada ya muda akagundua tena kuwa jamaa kazalisha mwanamke mwingine so jumla wawili. Mie ikabidi nimwambie
tunahitaji kukaa pahala tuzungumze na ikibidi tumalizie kile tulichoanza pale shambani.

Enheee!!
Basi siku moja nilijipa safari ya kikazi ambayo ilinipelekea kuvuta ganja kwa mara ya kwanza (sitarudia tena).
Baada ya kujitoa fahamu nilimpigia msichana yule simu asubuhi na yeye akachangamkia fursa kuwahi nyumba ya wageni niliyokuwa nimepanga.
Tuliburudishana siku nzima bila kondomu (sijui lakini labda bhange ilisaidia kidogo). Pia ilitokana na yeye kutaka ujauzito na mie kuwa na hamu ya kulipa kisasi
kwa yule mbikiraji. Siku hiyo haikutunga kwani baada ya muda aliona siku zake.

Nilipojitafakari nikawaza kuhusu huduma ya mimba (kumbuka nina mke na ni mjamzito wakati huu)na binti mwenyewe pia (yeye na mama yake wanaishi kwa babu)
Hofu iliniingia lakini baada ya majadiliano akaniambia anajishughulisha na ufundi cherehani, pia kwa kuwa wanakaa kwa babu hamna shida atapata huduma cha muhimu
ni yeye apate mtoto wake mmoja tuu aendelee na maisha yake (Isaya 4:1).

Baada ya mwezi nikakutana naye na kwa makusudi tukapeana burudani (maskini ya mungu wife anajua nipo kazini natafuta chochote). Baada ya siku kadhaa ananiambia ana mimba. lakini ana wasiwasi sana.
Nikaona dalili au pepo la kutoa mimba linamfuata (aliwahi kuniambia kuwa tulipoachana mwanzo alikujagundua ana mimba yangu na aliitoa, hali iliyoochangia nipate hamasa ya kummimbisha tena.)
Basi nikamtia moyo akatulia.

Sasa akaanza oohh njoo jitambulishe mama akuone, babu na bibi wakuoneee. Moyo ukalia paa. Mara naomba hela ya Dera sijui mateneti. Mara naomba ada ya ufundi... mambo yamekuwa mengi kwa kweli hadi kichwa kinauma.
Hapa nawaza nitamweleza nini wife na jamii wanielewe. Saa yoyote wife anajifungua aende kwa mama kula uzazi. mchepuko anataka nimpe mda wote. Nimeshaonana na mama yake ambaye amesisitiza ukaribu na huduma ili kuwe na amani.
Nimeona niwe mpole kwanza wife ajifungue.
Kisha nasubiri HESLB wanipe mkopo na TCU wanipe nafasi ya kuongeza elimu ndo nitorokee chuo. Nikwepe hii kirambasi. Ushauri zaidi nipeni.

Nimekosa Sana.

Usiweke mistari. Ya bible kwenye mambo ya mizaa
 
Back
Top Bottom