Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 197
- 405
Niliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kulikua na waha wana kopesha vitu kama watatu wana ongea kiluga tu,
iyo siku nilicho kula hakitoki, yani spati haja ndogo wala kubwa nina six-pack ila nikawa kama na kiriba tumbo nikafanya mazoez ili nipate haja wapi siamin ktk maombi ila usku nikamtafuta mama alipo nikamuelezea akaanza kuomba ndo usku sana nikaanza kupata choo.
Katika kuadisi watu, kuna mtu nae alisema walienda kwao mkoani kipindi yupo kama form three akanunua karanga kula njiani kuna mzee akamuangalia sana kuna karanga kama ikampalia iv,
Aliumwa sana kwenda hospital wap ndo wakaenda kwa bibi yao uko wakampa dawa za asili meza akalala pale kesho yake akatapika sana wakamwambia usile vitu njiani.