Uchawi wa macho. Upo na unaishi

Uchawi wa macho. Upo na unaishi

Kaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona

Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
Akili yangu inaniambia kuwa yawezekana ni njia ya kuwafundisha watu wanaokaidi suala la kula hovyo hadharani.
 
Kaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona

Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
Nilienda kibosho,nikakutana na bibi Mmoja ,akaniambia mjukuu wangu najua nimgeni uku,nenda kachume Jani la kahawa haraka,uweke mfukoni,kabla haujapigwa zongo
 
Kaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona

Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
Nilipigwa zongo uko upareni kwenye sherehe wee nikapewa dawa moja inaitwa Makata kadogo afu keupe kana ladha kama magadi.. nilitapika vibaya sana.. ila ikawa pilau la viungo nikilisikia linapikwa najiskia vibaya mnoo.. hali ilikuja ikaisha yenyewe
 
Niliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kuliko na waha wana kopesha vitu kama watatu wana ongea kiluga tu, iyo siku nikicho kula hakutoki, yani spati haja ndogo wala kubwa nina six-pack ila nikawa kama na kiriba tumbo nikafanya mazoez ili nipate haja wapi siamin ktk maombi ila usku nikamtafuta mama alipo nikamuelezea akaanza kuomba ndo usku sana nikaanza kupata choo.

Katika kuadisi watu, kuna mtu nae alisema walienda kwao mkoani kipindi yupo kama form three akanunua karanga kula njiani kuna mzee akamuangalia sana kuna karanga kama ikampalia iv, aliumwa sana kwenda hospital wap ndo wakaenda kwa bibi yao uko wakampa dawa za asili meza akalala pale kesho yake akatapika sana wakamwambia usile vitu njiani.
Zongo linauzwa kuanzia shilling 500 Hadi elfu kumi.

Hili la elfu kumi ndio linaitwa zongo maiti akipigwa mtoto Hilo kumaliza siku 3 haijawahi..Wanasema huwa inakimbilia utosini mwa mtoto utosi unavuta Sana na mtoto huanza kulia saaaana.

Tanga kumnyoko Kwa mazongo na Sasa hivi hawapigi wabibi ni wamama wa makamo kuanzia miaka 30 hadi 45 anaacha anatafuta mtoto wa kufundisha.

Majirani mtajua anaendelea kupiga watu zongo kumbe ameacha Muda mrefu Sana Ila mpigaji ni mtoto wake wakati mwingi hata vijana Wapo katika huu mkumbo.

Mazongo yanauzwa sokoni kipindi cha ghulio yaani masoko ya siku.

Mafano Kijiji cha itigi kutakuwa na soko Juma 3 basi hapo wauzaji WaPo Na wanunuzi wapo.
 
Naomba msaada..... Mtu anapoitwa na watu eidha anaowajua au asiowajua kuwa ni mshirikina.... Lakini hata kwa mganga hajawahi kwenda... Hajui mambo ya uchawi/ ulozi / ushirikina.... Maana yake hasa hapa ni ipi??
Kuna watu kiasili kabisa wanazaliwa hawarogeki au nguvu za giza kuwasumbua ,

sasa inakua hivi, mara nyingi wachawi au mchawi akijaribu kuwaroga hawa watu anajikuta anadunda na kushindwa
Mwisho anaamua kusambaza "umbea" fulani mchawi kumbe ameshindwa kufanya yake
 
Kaskazini wanaita zongo. Huku hata ndizi ya 200 mtu anakupiga nayo zongo kudadeki, utafurahia hayo maswaibu.
Dawa magadi.. loweka unywe.. usubiri kutapika unapona

Ila wanasema mwingine unakuta macho yake yana zongo ila ye mwenyewe hajui..
Haswa wamaasai wanapiga zongo hatari!
 
Naomba msaada..... Mtu anapoitwa na watu eidha anaowajua au asiowajua kuwa ni mshirikina.... Lakini hata kwa mganga hajawahi kwenda... Hajui mambo ya uchawi/ ulozi / ushirikina.... Maana yake hasa hapa ni ipi??
Kuna watu wana nguvu flani za asili either za kusaidia watu au kuumiza watu lakini hawajui kama wana nguvu hizo. Kama wewe unaitwa mshirikina na huendi kwa waganga na sio mchawi unayejijua, basi uwezekano ni kuwa wewe una nguvu za asili zinazoumiza watu bila wewe kujitambua.

Pili, kama wewe ni mtu wa Mungu sana na unalindwa na Mungu sana, wachawi wanapokufanyia mambo yao na kuishia kushindwa kila wakati, basi hufikiri kuwa wewe ni mchawi mkubwa sana na kuanza kukuita mshirikina kumbe ni zile nguvu za Mungu zinafanya kazi bila hata wewe kujua chochote.
 
Dunia Ina mambo mengi sana aisee
Zongo linauzwa kuanzia shilling 500 Hadi elfu kumi.

Hili la elfu kumi ndio linaitwa zongo maiti akipigwa mtoto Hilo kumaliza siku 3 haijawahi..Wanasema huwa inakimbilia utosini mwa mtoto utosi unavuta Sana na mtoto huanza kulia saaaana.

Tanga kumnyoko Kwa mazongo na Sasa hivi hawapigi wabibi ni wamama wa makamo kuanzia miaka 30 hadi 45 anaacha anatafuta mtoto wa kufundisha.

Majirani mtajua anaendelea kupiga watu zongo kumbe ameacha Muda mrefu Sana Ila mpigaji ni mtoto wake wakati mwingi hata vijana Wapo katika huu mkumbo.

Mazongo yanauzwa sokoni kipindi cha ghulio yaani masoko ya siku.

Mafano Kijiji cha itigi kutakuwa na soko Juma 3 basi hapo wauzaji WaPo Na wanunuzi wapo.
Aiséee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom