Uchawi wa macho ukoje na nini tiba yake?

Uchawi wa macho ukoje na nini tiba yake?

then it could also ward off the evil eye. And so it came to pass that emeralds were worn around the neck with the idea that if a person possessed of the evil eye looked at such a wearer all evil influences would be warded off and reflected back to the evil eye with singularly disastrous results to the latter. There is much evidence in the East that emeralds actually did help in the alleviation of eye complaints.
 
Kuna aina inaendana na huu uchawi ni maarufu sana kule mkoani mara ambao asili yake inasemekana ni Kenya kwa kabila la KISII, ambapo mchawi akikuangalia tu, anakurushia uchawi, gafla utaanza kuhisi homa kali na muwasho mwilini, hapa ukijichanganua ukapata dawa za hospital ndio zinakuwa msindikizaji wako kaburini, ila wenyeji wa kule wanajua dawa zake ni simple sana mtu anachanganya kwenye maji kisha anaogeshwa na ule uchafu huanza kutoka mwilin mithili ya kama ulikuwa umenata mwilini hapo kunakuwa na vitu vingi kama mchanga na vinginevyo vilivyokuwepo jiran yake mda anatupiwa huo uchawi.

Ila kinga yake kwa vile wachawi wa aina hii wanajulikana ni kumtamkia waziwazi hata kama ni kiutani kuwa usimroge mwanangu....usimrushie (Bhiriri) hiyo ndio kinga ya kumragua pia kuna hirizi wanafungia watoto ili wasiweze kuupokea huo uchawi japo sjui zaidi,
 
Back
Top Bottom