Uchawi wa macho ukoje na nini tiba yake?

Uchawi wa macho ukoje na nini tiba yake?

Zongo la kufungwa hata utabanwe vipi halitoki mpaka livutwe!

Kuna binadamu wana mioyo mibaya sana!
 
Nilikuwa Morogoro ndani sana huko nikaenda lunch kantini moja. Nikaagiza chips mayai ile nimeanza tu kula wakaja akina mama wawili wakaketi karibu na meza yangu wanaendelea na mazungumzo yao huku mimi nakata chips yai.

Ghafla nikaanza kusikia kichefuchefu. Nikinyanyua macho kuwaangalia wanakwepesha mara moja. Nikaeashtukia nikawa najifanya nainamia sahani halafu nanyanyua macho kwa kasi ya rocket kuwacheki, nakuta nao ndio wanakwepesha.

Hapo ndio hali imekuwa mbaya mate yamejaa mdomoni nimeweka vijiti mezani nasubiri tu nitapike, siwezi kumeza chakula kimejaa mdomoni.

Ghafla nikakumbuka maarifa ya maarifa. Nikaanza kutamka KWA JINA LA YESU shindwa, shindwa nyie wachawi kwa Jina la Yesu…! Shindwa…! Kwa Jina la Yesu…! Nakapigana vita pale kwa dakika moja hivi.

Ghafla hali ikabadilika nikaona tumbo limetulia na chips mayai iliyokuwa inanichefua ikaanza kushuka nikamaliza sahani.

Nikaenda chap counter kulipa, ile natoka pale kanteeni nikawapiga jicho la kushtukiza nakuta wanawake wale wanakodoa majicho balaa! Nikapita pembeni yao nipo kwa Jina la Yesu shindwa…! Shindwa…! Kwa Jina la Yesu…! Kimoyomoyo. Nikawaacha wanakodoa hadi naishia kuleee.

Yesu Kristo ni Mwamba wa miamba!
 
Unatoweka kwa kasi kubwa

Huu uchawi nilikumbana
nao Muleba, Kagera

TANGA HUKO.Vilevile anaweza kumwangalia hata ng'ombe na akamuua.

Unadhani kwanini unatoweka kwa kasi?

Upo Sana arusha pia.
Ila mambo mengn acha alinde mungu tu huwezi fika eneo ukaanza kuuliza habari za uchawi😀😀

Umenifungua kidogo kuna mahali nilienda wao chakula yoyote hata kama haijapikwa haitakiwi kubebwa waziwazi
Nilikuwa Morogoro ndani sana huko nikaenda lunch kantini moja. Nikaagiza chips mayai ile nimeanza tu kula wakaja akina mama wawili wakaketi karibu na meza yangu wanaendelea na mazungumzo yao huku mimi nakata chips yai.

Ghafla nikaanza kusikia kichefuchefu. Nikinyanyua macho kuwaangalia wanakwepesha mara moja. Nikaeashtukia nikawa najifanya nainamia sahani halafu nanyanyua macho kwa kasi ya rocket kuwacheki, nakuta nao ndio wanakwepesha.

Hapo ndio hali imekuwa mbaya mate yamejaa mdomoni nimeweka vijiti mezani nasubiri tu nitapike, siwezi kumeza chakula kimejaa mdomoni.

Ghafla nikakumbuka maarifa yangu na silaha yangu.

Nikaanza kutamka KWA JINA LA YESU shindwa, shindwa nyie wachawi kwa Jina la Yesu…! Shindwa…! Kwa Jina la Yesu…! Nakapigana kavita ka kimoyomoyo pale kwa dakika moja hivi.

Ghafla hali ikabadilika nikaona tumbo limetulia na chips mayai iliyokuwa inanichefua ikaanza kushuka nikamaliza sahani na kulamba kila kitu!

Nikaenda chap counter kulipa, ile natoka pale kanteeni nikawapiga jicho la kushtukiza nakuta wanawake wale wanakodoa majicho balaa! Nikapita pembeni yao nipo…kwa Jina la Yesu shindwa…! Shindwa…! Wachawi nyie mshindwe Kwa Jina la Yesu…! Kimoyomoyo. Nikawaacha wanakodoa majicho hadi naishia kuleee.

Yesu Kristo ni Mwamba wa miamba!
 
Nilikuwa Morogoro ndani sana huko nikaenda lunch kantini moja. Nikaagiza chips mayai ile nimeanza tu kula wakaja akina mama wawili wakaketi karibu na meza yangu wanaendelea na mazungumzo yao huku mimi nakata chips na yai.

Ghafla nikaanza kusikia kichefuchefu. Nikinyanyua macho kuwaangalia wanakwepesha mara moja. Nikaeashtukia nikawa najifanya nainamia sahani halafu nanyanyua macho kwa kasi kuwacheki, nakuta nao ndio wanakwepesha.

Hapo ndio hali imekuwa mbaya mate yamejaa mdomoni nimeweka vijiti mezani nasubiri tu nitapike, siwezi kumeza chakula kimejaa mdomoni.

Ghafla nikakumbuka maarifa yangu. Nikaanza kutamka KWA JINA LA YESU shindwa, shindwa nyie wachawi kwa Jina la Yesu…! Shindwa…! Kwa Jina la Yesu…! Nakapigana kavita ka kisailenti pale kwa dakika moja hivi.

Ghafla hali ikabadilika nikaona tumbo limetulia na chips mayai iliyokuwa inanichefua ikaanza kushuka nikamaliza sahani.

Nikaenda chap counter kulipa, ile natoka pale kanteeni nikawapiga jicho la kushtukiza nakuta wanawake wale wanakodoa majicho balaa! Nikapita pembeni yao nipo kwa Jina la Yesu shindwa…! Shindwa…! Kwa Jina la Yesu…! Kimoyomoyo. Nikawaacha wanakodoa hadi naishia kuleee.

Hakuna cha kijiti wala jiwe, Yesu Kristo ni Mwamba wa miamba!

Asante kwa ushuhuda, ila kwa kuwa njia moja imekusaidia wewe kwa imani uliokuwa nayo haimaanishi zingine ni takataka.
 
Asante kwa ushuhuda, ila kwa kuwa njia moja imekusaidia wewe kwa imani uliokuwa nayo haimaanishi zingine ni takataka.
Sawa mkuu nakuelewa Nashukuru kwa jinsi ulivyodadavua uchawi huu napenda kujua zaidi hayo mambo manake yapo kweli na yanasumbua wengi. Nijulishe zaidi.
 
Nilikuwa Morogoro ndani sana huko nikaenda lunch kantini moja. Nikaagiza chips mayai ile nimeanza tu kula wakaja akina mama wawili wakaketi karibu na meza yangu wanaendelea na mazungumzo yao huku mimi nakata chips yai.

Ghafla nikaanza kusikia kichefuchefu. Nikinyanyua macho kuwaangalia wanakwepesha mara moja. Nikaeashtukia nikawa najifanya nainamia sahani halafu nanyanyua macho kwa kasi ya rocket kuwacheki, nakuta nao ndio wanakwepesha.

Hapo ndio hali imekuwa mbaya mate yamejaa mdomoni nimeweka vijiti mezani nasubiri tu nitapike, siwezi kumeza chakula kimejaa mdomoni.

Ghafla nikakumbuka maarifa yangu na silaha yangu.

Nikaanza kutamka KWA JINA LA YESU shindwa, shindwa nyie wachawi kwa Jina la Yesu…! Shindwa…! Kwa Jina la Yesu…! Nakapigana kavita ka kimoyomoyo pale kwa dakika moja hivi.

Ghafla hali ikabadilika nikaona tumbo limetulia na chips mayai iliyokuwa inanichefua ikaanza kushuka nikamaliza sahani na kulamba kila kitu!

Nikaenda chap counter kulipa, ile natoka pale kanteeni nikawapiga jicho la kushtukiza nakuta wanawake wale wanakodoa majicho balaa! Nikapita pembeni yao nipo…kwa Jina la Yesu shindwa…! Shindwa…! Wachawi nyie mshindwe Kwa Jina la Yesu…! Kimoyomoyo. Nikawaacha wanakodoa majicho hadi naishia kuleee.

Yesu Kristo ni Mwamba wa miamba!
Una bahati yako aise.
 
Mtume mpendwa ameshatuhadharisha miaka mingi sana kuhusu kijichoView attachment 2504115
IMG-20230113-WA0022.jpg
 
Uchawi wa macho a.k.a Evil eye ni aina ya uchawi unaotupiwa muhusika ukuue au kukutaabisha kupitia jicho la mchawi.

Mara nyingi uchawi huu ufanyika katika maeneo yenye umati mkubwa wa watu mfano magengeni, mikahawani, minadani, n.k

Uchawi huu ni Kijicho kwa maana ya wivu wa kichawi na roho mbaya kwa mtu asiye na hatia.

Unapokuwa ukila chakula na mchawi akakubaini kuwa unakula mbele yake ni kana kwamba unamtambia najua wewe uwezi nunua ndiyo maana wanitolea macho ebu angalia ninavyofaidi.

Sasa kukukomesha mchawi unuia kimoyomoyo kwa kunung'unika na ukukazia macho yake "ambayo ukiyatizama nikama yanakwambia nakuchukia kama kifo au kufa tu" papo hapo uchawi huu utoka ndani yake na kumdhuru yule aliyekusudiwa.

Zongo hili umkumba mchawi aliyeununua au mwenye kuumiliki kama vile arosto ya madawa ya kulevya mara anapoona mazingira ya uchawi wake hawezi jizuia kukuroga hata kama ni mwanaye wa kumzaa.

Pindi unaporogwa na haina hii ya uchawi uwezi chukua round ni dakika chache tu baada ya kumaliza kula, kunywa au kumeza funda la mate tiyari utaanza kuhisi hauko sawa, tumbo litakuuma mno au kuvurugika hapo hapo utahisi homa, kichefuchefu na ukiwa na bahati nzuri utatapika.

Kinachofuata hapo kama utakimbizwa hospitalini hakuna watakachobaini na badala yake itatuchukua masaa kadhaa tu ya siku au siku chache kukusahau kama uliwahi kuwepo.

UNAJILINDA VIPI

1. Kama wewe si mshirikina chukua tahadhari acha mazoea ya kula ovyo ovyo mbele za watu usiowafahamu au kwenye umati mkubwa.

2. Dadisi au tafuta taarifa toka kwa wenyeji wa maeneo husika ulipofikia juu ya tabia za kishirikina katika maeneo yao hasa ukiwa maeneo ya vijijini ambapo kwa asilimia kubwa uchawi huu umeenea.

3. Tembea na kijiwe kidogo mfukoni au ukiweke katika sikio lako la upande mmoja kama wanavyoegeshea penseli mafundi seremala, hii ni kinga dhidi ya uchawi huu.

4. Chomeka njiti moja au mbili za kuchokonolea meno (toothpick) katika nywele zako za kichwani kwa wale wenye nywele ndefu hakikisha haionekani, hii pia itakusaidia ukirushiwa uchawi huu wakati unafakamia msosi au kinywaji usidhurike.

5. Hakikisha kila unapokula hasa mgahawani tafuta sehemu inayokupa faragha kiasi cha kutoangaliwa sana na wapita njia.

6. Ukishajua unakula katika mazingira ambayo ni hatarishi, usikwepeshe macho au kuona aibu kuwasoma watu unaokula nao au wanaokutazama, mara kwa mara wakazie macho na wao wakikutazama hili hata kama ipo nia atapotezea atajua mlengwa ana machale au kishashtukia mchezo na nikimroga hapa atanijazia nzi.

7. Usimpe nafasi uliyebaini au kumuhisi ndiye kakuroga nafasi atoroke, muumbue na hamasisha watu walio karibu wamdhibiti asitoroke hata kama huna uwakika kumbuka wapo watakaokuja kumtetea watatoa na nondo za muhusika kuwa innocent na wengine wataenda mbali kiasi cha kukutajia muhusika (kumbuka wenyeji wanawajua fika wahusika isipokuwa wewe hapo uliyefika katika mazingira yao)

Ikitokea ukamfumbia macho mwanga utakufa wewe na kesho ataendelea kuua wengine, ila ukimtaitisha papo hapo, basi utapata msaada kwa wenyeji kumlazimisha akukorogee uji wa mahindi wa moto kwa kutumia mkono wake kama mwiko (hapo ndipo utajua kuwa uchawi upo)

Akishamaliza kuukoroga uji huo hapo hapo katika eneo la tukio utapewa unywe na baada ya sekunde tu utatapika vyote ulivyokula na ndiyo pona pona yako hiyo.

Kitakachokushangaza ni kuwa kile ulichokula pengine ni ugali na samaki, ulimtafuna minofu kabla ya kummeza ila hapa utamtapika mzima kabisa na ameoza ananuka balaa na ana funza wakutosha, itoshe kusema uchawi haufai na unatesa watu.

Uchawi huu umeenea sana maeneo ya kanda ya ziwa kule ukerewe na rorya na kaskazini huko uchagani, tanga na maeneo mengi tu hapa nchini, kikubwa nimekusanua tu hili uchukue tahadhari haijalishi unaamini au hauamini kama uchawi upo.

Hii ilishawahi kunitokea nikiwa mdogo aitokaa nisahau nilitapika nyama nzima nzima
 
Imagine wenzetu maulaya, Asia na Amerika huko wanajiachia kwenye parties wanakula na kunywa kwa uhuru kabisa lakini sisi huku hata ukienda mgahawani tu inabidi uwe macho na wanaokuangalia ili usije ukaRIP. Maisha gani haya sasa?
Ni kweli ulisemalo lakini kila hatua uhesabu haimaanishi wazungu hawakupitia hatua hii ya kipindi cha ujinga au giza kuu katika historia ya mabara yao, hata wao walitaabika sana kutokomeza uchawi kwa miaka mingi sana katika nchi zao mpaka leo tunawaona pale wakienjoy katika jamii zilizostaharabika.
 
Back
Top Bottom