Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 1,054
- 1,615
Yaani membe bado hajalipwa bil. 9 yake tena kumbe kuna uchawi wa dekio. Hii nchi ina matukio back to back yaani hatupumziki.
🤣🤣🤣Yeye asichane, achukue lote. Na wakati akiwa anaondoka, awe anaongea maneno yoyote ya kilugha chake.
Ni mwendo wa kupanikishana tu.
😅😅 Mwendo wa kupanikishana tu
Nimecheka balaa😂😂😅😅 Mwendo wa kupanikishana tu
Solution zingine hazihitaji hata mganga 😅Nimecheka balaa😂😂
Unagombana na mpangaji mwenzio kwann ? Mm huwa hata siongeagi nao zaidHabarini wakuu,
Ni muda sasa nipo kwenye mgogoro na mpangaji mwenzangu,Tumefikia hatua mpaka hatusalimiani!..
Siku za hivi karibuni nilikuwa npo kibaruani ,jion nilpo rudi nyumbani
nikapewa taarifa na bint wangu wa kazi alimuona huyo mpangaji mwenzangu akichukua dekio la ndan kwangu na kuchana kipande kidogo kisha kutokomea ndani kwake na kipande hcho!...
Sasa wasi wasi wangu upo juu ya hilo tukio,maana huwa nasikia kua namna wachawi huwa wanatumia nguo au kpande cha dekio katka kumfanyia shikri mbaya wake!...
Naomba mwenye kujua zaidi na namna ya kuepukana na haya mambo!
HAMA .Habarini wakuu,

I miss you mwalimuNawe kachane lake ingia ndani.....vitisho vitisho tu yani!!!
Ooh thank you muzee ya jehanam, umepotea best....I miss you mwalimu
Hakuna uchawi tena hapo, hawezi kukudhuru tena! Kila kitu kiliharibika alipoonwaHabarini wakuu,
Ni muda sasa nipo kwenye mgogoro na mpangaji mwenzangu, tumefikia hatua mpaka hatusalimiani!
Siku za hivi karibuni nilikuwa npo kibaruani ,jion nilpo rudi nyumbani, nikapewa taarifa na bint wangu wa kazi alimuona huyo mpangaji mwenzangu akichukua dekio la ndan kwangu na kuchana kipande kidogo kisha kutokomea ndani kwake na kipande hcho!
Sasa wasi wasi wangu upo juu ya hilo tukio,maana huwa nasikia kua namna wachawi huwa wanatumia nguo au kpande cha dekio katka kumfanyia shikri mbaya wake!
Naomba mwenye kujua zaidi na namna ya kuepukana na haya mambo!
Ebu mchawi wetu mkuu Mshana Jr njoo umsaidie huyu Aunt CashHabarini wakuu,
Ni muda sasa nipo kwenye mgogoro na mpangaji mwenzangu, tumefikia hatua mpaka hatusalimiani!
Siku za hivi karibuni nilikuwa npo kibaruani ,jion nilpo rudi nyumbani, nikapewa taarifa na bint wangu wa kazi alimuona huyo mpangaji mwenzangu akichukua dekio la ndan kwangu na kuchana kipande kidogo kisha kutokomea ndani kwake na kipande hcho!
Sasa wasi wasi wangu upo juu ya hilo tukio,maana huwa nasikia kua namna wachawi huwa wanatumia nguo au kpande cha dekio katka kumfanyia shikri mbaya wake!
Naomba mwenye kujua zaidi na namna ya kuepukana na haya mambo!
Kumbe, wewe Mshana Jr ni mbunge wa ukweli humu JF, big up!Hakuna uchawi tena hapo, hawezi kukudhuru tena! Kila kitu kiliharibika alipoonwa
You always come up to our rescue👏kwanini
Mvizie vizie chota unyayo.Habarini wakuu,
Ni muda sasa nipo kwenye mgogoro na mpangaji mwenzangu, tumefikia hatua mpaka hatusalimiani!
Siku za hivi karibuni nilikuwa npo kibaruani ,jion nilpo rudi nyumbani, nikapewa taarifa na bint wangu wa kazi alimuona huyo mpangaji mwenzangu akichukua dekio la ndan kwangu na kuchana kipande kidogo kisha kutokomea ndani kwake na kipande hcho!
Sasa wasi wasi wangu upo juu ya hilo tukio,maana huwa nasikia kua namna wachawi huwa wanatumia nguo au kpande cha dekio katka kumfanyia shikri mbaya wake!
Naomba mwenye kujua zaidi na namna ya kuepukana na haya mambo!
Ma mdogo huyo anaenda kukuloga njoo PM haraka sana unipe namba zako tufanye tambikoHabarini wakuu,