MKABIDHI YESU KRISTO WA NAZARETH AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO...Habarini wakuu,
Ni muda sasa nipo kwenye mgogoro na mpangaji mwenzangu,Tumefikia hatua mpaka hatusalimiani!..
Siku za hivi karibuni nilikuwa npo kibaruani ,jion nilpo rudi nyumbani
nikapewa taarifa na bint wangu wa kazi alimuona huyo mpangaji mwenzangu akichukua dekio la ndan kwangu na kuchana kipande kidogo kisha kutokomea ndani kwake na kipande hcho!...
Sasa wasi wasi wangu upo juu ya hilo tukio,maana huwa nasikia kua namna wachawi huwa wanatumia nguo au kpande cha dekio katka kumfanyia shikri mbaya wake!...
Naomba mwenye kujua zaidi na namna ya kuepukana na haya mambo!
Hata akichukua dekio zima, bado atakuwa roho juu tu. Maana hajui kama na mwenzie anamtisha au yupo siriazNawe kachane lake ingia ndani.....vitisho vitisho tu yani!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Nashangaa anachelewa nini na yeye akanunue nazi nyekundu achore maandishi yoyote yasiyoweza kusomeka kisha avunje mbele yake huku akisema kama alivyochana tambaa na mimi namvunja viungo🤪😬😁😁
🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🤣🤣🤣Chukua mkaa uufunge tambaa jeusi nawe kalirushe mlangoni kwake akiwa anaona. Hii ni michezo ya kisaikolojia tu. Mshirikina ataogopa ushirikina
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Atatangaza vita ya vyupi humo ndaniKwa kumkomoa akianika chupi zake pita na moja wapo halafu mpige bonge la biti ile full laana![]()
Dah! Eti kwenye kopo mbona unamtisha mwenzioAtajikojolea hapo alipo...

atajua hajui. UwiiiihWatu wengi wanajifanya uchawi haupo, uchawi upo ni ushirika wa mwanadamu na roho za giza. Kama kweli wewe sio mchokozi katika ugomvi huo basi ujue kwamba unadili na mshirikina au mchawi kabisa.Habarini wakuu,
Ni muda sasa nipo kwenye mgogoro na mpangaji mwenzangu,Tumefikia hatua mpaka hatusalimiani!..
Siku za hivi karibuni nilikuwa npo kibaruani ,jion nilpo rudi nyumbani
nikapewa taarifa na bint wangu wa kazi alimuona huyo mpangaji mwenzangu akichukua dekio la ndan kwangu na kuchana kipande kidogo kisha kutokomea ndani kwake na kipande hcho!...
Sasa wasi wasi wangu upo juu ya hilo tukio,maana huwa nasikia kua namna wachawi huwa wanatumia nguo au kpande cha dekio katka kumfanyia shikri mbaya wake!...
Naomba mwenye kujua zaidi na namna ya kuepukana na haya mambo!
Sasa si mpaka awe anaishi uswahiliniAkianika chupi chukua tokomea nayo
Tungepanga wote tungewezana ligi...Nawe kachane lake ingia ndani.....vitisho vitisho tu yani!!!