[emoji23][emoji23][emoji23]mwaka mpya na mambo mapya... Mavi ya kale hayanukiBasi hao hata Mungu hawamwamini wanamuabudu kufuata mkumbo. Kuniota kuambatane na kulipa madeni yote ninayokudai
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]mwaka mpya na mambo mapya... Mavi ya kale hayanuki
Jr[emoji769]
Njoo nikumegee kiduchuUlisimuliwa au kushuhudiwa ? ? msipotoshe watu
Unapolazimisha mm nikuamini ndipo unathibitisha kuwa ni uongo, kwa nini uandikie mate na wino upo ? ? kama kweli uchawi upo na wewe unaweza basi hapo hapo ulipo FUTA HAYA MANENO YANGU HAPA SASA HIVI NAKUPA DAKIKA 60Wewe unayejifanya una kichwa kigumu kama jiwe eti huamini uchawi, subiri yakukute ndo utajua. Uchawi upo na wachawi wapo, maana uchawi ni nguvu za giza. Sasa kama huamini kuna uchawi maana yake huamini kama kuna nguvu za giza. Hivyo hujui hata dini zinasaidia nini.
Wewe unayejifanya una kichwa kigumu kama jiwe eti huamini uchawi, subiri yakukute ndo utajua. Uchawi upo na wachawi wapo, maana uchawi ni nguvu za giza. Sasa kama huamini kuna uchawi maana yake huamini kama kuna nguvu za giza. Hivyo hujui hata dini zinasaidia nini.
Ni ukweli mimi ni mhanga wa hayo kuona na kugusa sio kuambiwaNimekua nikisikia simulizi nyingi za vibwengu......na mambo mengi chungu nzima ila.... kila nikiuliza mtu anae simulia hiyo stori anasema alisimuliwa....je kuna ukweli wowote kuhusu dhana ya kuepo kwa uchawi ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sumbawanga alibebwa ng'ombe na kupaishwa juu angani na ndege MWEWE sasa we beep au jifanye kama unajikuna tu uone
Sent using Jamii Forums mobile app
Sumbawanga noma nina na rafiki yangu tunaheshimiana ni Polis siku moja katika utani akaniambia (nanukuu) Nina mtu ananipenda lakini Mimi simpendi na ana mke Kama ningekuwa nampenda kwa dhati ningeua mke wake na watoto wote wa tatu akabakia ni wangu tuSumbawanga alibebwa ng'ombe na kupaishwa juu angani na ndege MWEWE sasa we beep au jifanye kama unajikuna tu uone
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nikienda Nigeria narudi na kombora nakurushia kukutest Kama upo sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Dah... [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Sumbawanga noma nina na rafiki yangu tunaheshimiana ni Polis siku moja katika utani akaniambia (nanukuu) Nina mtu ananipenda lakini Mimi simpendi na ana mke Kama ningekuwa nampenda kwa dhati ningeua mke wake na watoto wote wa tatu akabakia ni wangu tu
Nikamuuliza ukiwaua si utajulikana utafia gerezani?
Akajibu
Nikitaka natuma radi inawasambaratisha wote labda mahakama ifunge radi siyo mimi na alinithibitisha uwezo huo anao bila kuhitaji msaada wowote .
Na aliniambia iwapo nitahitaji msaada kwa mtu aliyeniudhi nimwambie tumfanyizie huyo mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa wa pwani Kuna Mzee mmoja ni mganga wa kienyeji ana viwanja vitatu kila mwezi anaviuza Bei ndogo Sana lakini kila anayenunua huwaga harudi nimeshuhudia wateja zaidi ya 10 wananunua lakini hakuna aliyewahi kurudi.Uchawi upo na wachawi wapo
Kuna tukio nililishuhudia kwa macho yangu,
Pale morogoro kuna nyumba ya urithi ya watoto 7 iv, lakin anaishi mtoto wa kwanza alafu ni mganga ao watoto wengine wameizira hiyo nyumba maana ukienda kudai urithi tu kesho unaamka chiz watoto watatu wamekua machiz waliobak wakaona sio kesi tumuachie tu hiyo nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Michezo ya wanga na wachawi shukuru Mungu hukula. ..watu wengi hulishwa nyama za watu na wa nyama kupitia ndoto kama hizo!
Ingetokea ukala kesho undeshinda vibaya huku tumbo likiwa limejaa na kujisikia hovyo hovyo tuu