Uchawi uliniponza

Kumwamini Yesu Kristo ni njia sahihi ya kutoka kwenye ulozi.!

Karibu kwa Yesu Mkuu bado hujachelewa
 
Hawa watoto wanasumbua sana mkuu hapa jukwaani ,wanafikiri wote tupo rika moja sijui.
 
Rais2020 mm naomba nikuulize kuna manufaa gani mnayapata kwenye shughuli zenu za uchawi?
Je,nyinyi wachawi kiboko yenu ni nani kwamaana mkisikia jina au ukui wake kazi zenu zinashindwa
Tafadhali naomba jibu
Huo sio mchawi na nina uhakika hana anachokijua kuhusu uchawi

Ukitaka mambo ya uchawi na uganga mtafute Rakims au mtu mzito.
 
amekusoma nadhani
 
Mimi ni sawa na umri wa baba yako mkuu. Hebu tujaribu tu kuheshimiana
Mkuu kuna sehemu ulisema mwaka 2008 ulikuwa upo chuo sasa ukipiga mahesabu kutoka 2008 mpaka sasa umri wako upo kati ya 31_35 sasa kwa nini nisikuite mtoto?
 
Mkuu kuna sehemu ulisema mwaka 2008 ulikuwa upo chuo sasa ukipiga mahesabu kutoka 2008 mpaka sasa umri wako upo kati ya 31_35 sasa kwa nini nisikuite mtoto?
Je,hujajiuliza kama nilikuwa chuo kama in service?
 
Duuh, hao wa kigoma si wa mchezo mchezo wanadi wana radi zao zinakutoa ndani kukupigia nje 😀😀
 
Story yako ya ukimwi uliitwa muongo ,mtunzi ila nilikuamini hivyo hivyo ukadai unafanya kazi kitengo cha kuwahudumia waathirika saizi unatuletea porojo hii

Ase we jamaa ni zaidi ya shigongo na nyambari nyangwine
 
Hebu utumie uchawi wako kwa manufaa japo mara moja maishani mwako.

Loga ajira ziachiliwe mkuu.
 
Story inaweza kuwa ya kweli lakini ya kusimliwa, haikumtokea yeye, ndio maana ukiunganisha sentensi unaishia kwenye alama ya kushangaa!!!!!!!!!!!
 
Umeambiwa umwambie mtu yupowapi na anafanya nini unatakapesa.

Wewe ni mjanjamjanja tu unajifanya mganga wakienyeji na umetafuta hadisi ukaiweka hapa iliwatu wanao amini ushirikina wakutafute uwatibu ujipatie ridhiki.

Subiritu utawapata.
 
Kuwa seriaz bhana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…