Uchawi ni moyo, tunguli mzigo

Uchawi ni moyo, tunguli mzigo

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,858
.
IMG_20190629_202439_388.jpeg
 
Atarudi na hakika amsha itatokea tu tunaomba amani tu uchaguzi upite salama
 
Sijaelewa mbona?

Yani mtu kuwa mchawi akiwa na moyo mbaya roho mbaya , ukatiri, kukosa upendo na Huruma kwa mtu mwingine hiyo yatosha kuwa mchawi siyo lazima mpaka awe na furushi la matunguli !

Kukosa kujali utu na moyo wa Huruma na kuwa katili yatosha kuwa mchawi hata kama mtu hana tunguli.

Je umeelewa sasa kile mleta mada anachojikita nacho ?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom