EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
Huyu sangoma anatoa huduma ya kusafirisha madawa ya kulevya bila kuonwa.
Tangazo hili linaletwa kwenu kwa hisani ya appoh
Victor Baurne (37) aliyekuwa meneja mizigo wa ndege moja huko Marekani alikamatwa John F. Kennedy International Airport kwa kosa la kusafirisha dawa za thamani zaidi ya Pauni 330 za cocaine toka mwaka 2000 mpaka mwaka 2009.
Baurne alidaiwa kuwa kwa kipindi chote cha miaka tisa, alikuwa akisafiri mpaka Afrika kwa ajili ya kudidimiza mwonekano wowote wa kazi yake ya kusafirisha dawa hizo.
Wakati wa kesi yake, Baurne alikuwa akisafiri mara kwa mara mpaka Afrika kwa ajili ya kudidimiza kesi yake kwa uchawi, ambapo alikutana na waganga kadhaa ambao waliweka laana juu ya waendesha mashtaka, kulingana na nyaraka za mahakama.
Bourne pia alisisitiza kuwa wachunguzi wa kesi yake walikuwa wametoa maelezo ya uongo jambo ambalo lilikataliwa na mahakama.
Hata hivyo mauzauza kadhaa yalikuwa yakionekana mahakamani hapo wakati kesi ya Bourne ikiendelea kusomwa kabla ya kupewa agizo la kifungo cha miaka 300 jela.
Kiongozi huyo wa wafanyakazi wa American Airlines, Bourne alikuwa ametengeneza mamilioni ya dola ambayo aliyatumia kuhakikisha anafanya biashara yake anavyotaka, alisema hakimu Brooklyn.
Mbinu mpya za kusafirisha dawa za kulevya zaanikwa Marekani - Kimataifa - mwananchi.co.tz