Ni hali halisi. Kanzu ni nguo iliyokuwa na inayoendelea kuvaliwa sana Middle East na North Africa. Na huko kote wakristu na waislamu wakiarabu wanavaa kanzu. Wayahudi hawavai kwa sababu ni wahamiaji na wamerudi na tamaduni za walikotoka.
Mtanzania wa kawaida ana amini "Salaam Aleykhum" ni salamu ya kiislamu wakati ni " amani iwe kwako " kwa kiarabu.
Hata kwenye harusi za kihaya, wageni wengi hawavai kanzu. Ni vazi la kitamaduni lakini halitumiki sana.
Inawezekana. Lakini wanakosea kama vile siku hizi wanavyosalimia " As salam Aleykhum" pamoja na "Bwana Asifiwe" ambayo nayo inachukuliwa kama salam ya kikristu. Kwangu mimi sioni tatizo kwa wao kuvaa kanzu hata kama ni kwa ajili ya kuheshimu imani yake. Ni heshima tu, sio uchawa.
Ubaya wa hili jambo ni kuwa watu wanataka kuhusisha Mbowe kuvaa kanzu na unafik. Hiyo ni quite low.
Amandla....
Hayo si mavazi ya kiislamu mzee.Yaani katika vitu viongozi wa kikristo wanakwama ni huu upuuzi wa kuvaa mavazi ya kiisilamu kwenye hafla za waisilamu. Huwezi kuona muisilamu yoyote anavaa msalaba hata baba mtakafifu aje. Nikimuona tu kiongozi wa kikristo anavaa mavazi ya kiisilamu namdharau sana.
Futa hili wazo la kishamba na dalili ya kukosa uelewa wa mambo..kusema Mbowe ni mnafiki kwasababu amevaa kanzu sio sawa.
..lakini hatutakosea tukisema Mbowe amevaa kanzu kwa nia ya kuheshimu dini ya KIISLAMU kwasababu kanzu ni vazi la dini hiyo.
Kwamba unaenda kuhani msiba na waandishi wa habar na unampigia magoti mfiwa? NdiyoMh! Uchawa na ushoga quite unrelated! Uchawa ni kujitoa akili, ufahamu, weledi pamoja na kuujua ukweli as long as unanufaika na ushenzi unaoufanya bila kujali athali kwa jamii inayokuzunguka au jamii yote.
Ushoga you do not harm anybody only unafanya matendo ya ngono kinyume na nature na amri ya Mungu ( kwa wanao amini uwepo wa MUNGU)..... something of that nature anyway..
Mkuu ukiingia kanisani umevaa kanzu na barakhashea itaonekana umevaa vazi la heshima au la kiisilamu?Hayo si mavazi ya kiislamu mzee.
Muache uvivu wa kusoma vitu vidogo kama historia ya mavazi.
Ninayeandika hapa ni mkristo...Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Huyo mshana kwenye mambo ya kupondea serikali huwa anatumia hisia kuliko ubongo wake.
Hao waumini wa kikristu japo nao ni wakristu kwa majina watakuwa wanasumbuliwa na ukosefu wa taarifa sahihi au hawana exposure.Mkuu ukiingia kanisani umevaa kanzu na barakhashea itaonekana umevaa vazi la heshima au la kiisilamu?
Na huyu pia ni chama?!Fine, utashi wa kijinga. Mbona wao hawana habari na imani yako, why wewe kiherehere? Uhayawani tu.
Bashungwa, one can say for sure, he is looking for a comeback!
UCHAWA
Mkuu naona umeanza kunipanga. Padre asalishe kwa lugha ya kiarabu?Hao waumini wa kikristu japo nao ni wakristu kwa majina watakuwa wanasumbuliwa na ukosefu wa taarifa sahihi au hawana exposure.
Kuna siku ibadani Padri mmoja alianza kusalisha sala ya Baba yetu uliye mbinguni kwa lugha ya kiarabuni na sikuona mtu akisema Padri anasalisha kiislamu.
Umesoma vizuri nilichokiandika kweli?Mkuu naona umeanza kunipanga. Padre asalishe kwa lugha ya kiarabu?
Ninayeandika hapa ni mkristo...
Mzee baba kanzu ni vazi la utamaduni wa Kiarabu ambalo waislamu wamerithi tu kwa sababu ya sitiri ya mwili, sio kwamba ni vazi la waislamu...
Ukitazama kuna jamii tofauti za waislamu lakini si wote wenye kuvaa kanzu., tazama waislamu wa Afghanstan, Iran, Iraq, Pakistan, zile nchi zilizomeguka toka USSR wote hao hawavai kanzu...
Kitu pekee kilichonishangaza kwa baadhi ya walioemda kuhani msiba ni suala la kupiga magoti, sijajua ni suala la utamaduni (sijui wa wapi), uoga, kuigana !!!
Hilo la kupiga magoti sio zuri. Tumekatazwa kumsujudia binadamu mwingine ingawa kuna kabila zinataka wanawake wawasujudie wanaume. Mimi hata hilo la mwanamke kumpigia magoti mwanaume ( dada mkubwa anampigia got mdogo wake wa kiume, mke anampigia got mume wake n.k.) sikubaliani nalo. Hili la mwanaume kumpigia goti binadamu mwenzake ( bila kujali jinsia) nalo sikubaliani nalo.Ninayeandika hapa ni mkristo...
Mzee baba kanzu ni vazi la utamaduni wa Kiarabu ambalo waislamu wamerithi tu kwa sababu ya sitiri ya mwili, sio kwamba ni vazi la waislamu...
Ukitazama kuna jamii tofauti za waislamu lakini si wote wenye kuvaa kanzu., tazama waislamu wa Afghanstan, Iran, Iraq, Pakistan, zile nchi zilizomeguka toka USSR wote hao hawavai kanzu...
Kitu pekee kilichonishangaza kwa baadhi ya walioemda kuhani msiba ni suala la kupiga magoti, sijajua ni suala la utamaduni (sijui wa wapi), uoga, kuigana !!!
Kazu sio vazi la kiislamu wala kofia ,kama unabisha kaangalie wachaga zamani walikuwa wakivaa vikofia hivyo .
kanzu ni vazi la kihistoria sio kwa waislamu pekee.
Ni heshima tu. Hata mimi nikienda kwenye shughuli za wenzangu waislamu wakinialika nakula zangu kanzu. Nna kanzu zangu tatu maridadi toka kanzu mall kwa shughuliHivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Duh,Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
..uhalisia wa hapa kwetu ukoje?
..uhalisia na mapokeo yetu Watz Kanzu ni vazi la Kiislamu.