gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Wana MMU wenzangu hebu leo tujaribu kuangalia hili katika mahusiano hasa wale ambao wako ndoani ama ambao wanamahusiano yanayowapeleka kuishi pamoja. Hivi karama ya uchapaji kazi na utunzaji wa mali alizobarikiwa mwenzio unazichukuliaje?
- je ni kama njia ya kuongeza kipato cha familia kwa ustawi a familia?
-je ni kama njia ya kuonyesha kuwa hajui mapenzi kwako
-je ni kama njia ya kuonyesha kutokukujali wewe
-je ni kama kitega uchumi ambacho wewe wategemea upatepo hela ukahonge
- je ni kama kitu cha kukufanya wewe urelax ukijua kuwa atafanya on your behalf.
ama ni kama nini?